Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Nilisikia takwimu, inatakiwa kila mtz ale kilo 50/year na Lita 200 za maziwa.Kwenye maziwa nimebakisha Lita 25 tu,ila nyama bado sanaMpaka Sasa Hivi Tupo Chini Ya Kiwango Ulaji Nyama
Atumie Mkanda Na Ulaji Wa Kiasi Wa Chakula
Bila Shaka Wengi Sana Tupo Chini Ya KiwangoNilisikia takwimu, inatakiwa kila mtz ale kilo 50/year na Lita 200 za maziwa.Kwenye maziwa nimebakisha Lita 25 tu,ila nyama bado sana
Weka picha tumboMimi Ni Ke..Nina tumbo kuubwa, nimejaribu njia Tofauti Tofauti ila sijapata matokeo.
Nlikua nafanya mazoezi na nikipata matokeo chanya ..ila nikashtuka goti..nikifanya mazoezi linauma goti.
Je nitumie.njia gani.mbadala wa mazoezi ili nifikie lengo.
.nakosa confidence na hili tumbo langu.
N.B Picha Siwezi tuma kwa wale wapenda picha.
Sikuwa najua kuwa haya madawa Ni chanzo Cha magonjwa ya Ini na Figo. Huwa wanasema Ni virutubisho vitokanavyo na mimea. πAcha kuibia watu na madawa yenu ya kiajabu ajabu,haya madawa yenu yamekuwa vyanzo vikuu vya magonjwa ya ini na figo
ΓB muhusika wa unene usijaribu kudanganywa eti tumia forever living au sijui Ngetwa,hizi dawa ni hatari sana kwa afya za watu
Sikuwa najua kuwa haya madawa Ni chanzo Cha magonjwa ya Ini na Figo. Huwa wanasema Ni virutubisho vitokanavyo na mimea. Tunaomba shule zaidi na zaidi katika hili eneoπAcha kuibia watu na madawa yenu ya kiajabu ajabu,haya madawa yenu yamekuwa vyanzo vikuu vya magonjwa ya ini na figo
ΓB muhusika wa unene usijaribu kudanganywa eti tumia forever living au sijui Ngetwa,hizi dawa ni hatari sana kwa afya za watu
Hiyo ni lugha ya biashara tu mkuu,tathimini iliyotolewa na wataalamu wa magonjwa ya figo na ini inasema kuwa takribani 60+% ya magonjwa ya ini na figo chanzo chake ni madawa ya kienyeji,huku wahanga wakubwa wakiwa watu kutoka katika majiji na Miji mikubwa ambako hawa forever living,Bf suma, nk wamejikita sana,Sikuwa najua kuwa haya madawa Ni chanzo Cha magonjwa ya Ini na Figo. Huwa wanasema Ni virutubisho vitokanavyo na mimea. [emoji849]
Fanya Mazoez ya kukata tumboNimeumia goti mkuu..nlikua na jog..saiv nashindwa nikijog natonesha goti
Mkuu...kweli ninatumbo lakini SI kiivyo[emoji23][emoji23][emoji23]...jamani..alafu Mimi mweusiKumbe ndo weweView attachment 1599446
Jamani...sitaki kuwa chibonge...Kwetu unamaradhi ya Pressure na Moyo..Sasa nikizidi nenepa nazidi kuwa kwenye rizkWw ni kibonge tu. Likubali hilo.[emoji3][emoji3]
Badilisha kula Asubuhi kunywa chai muhogo au viazi vitamu 2 kwa wiki moja, mchana kula mbogamboga kiasi kidogo na usiku matunda tu usile chochote ikifika saa 2 usiku. Kwenye wiki moja siku 3 kunywa kilasi 5 za juisi ya malimau(mfano jumamosi hadi jumatano glasi 1 kwa siku)Fanya hivyo kwa wiki halafu lete mrejesho.Mkuu...kinyesi hakiwezi kuwa kingi namna hiyo...hili tumbo lilianza kuwa kuubwa..baada ya kuandikiwa Dawa flani hivi hospital..nikawa NAPATA appetite yakula... Nliyoka kilo 64 Hadi 94.. saiv na 84..nataka nipunguze hizi 20..
Nakosa kukiamini nikiwa na mahusinao
Mh... Mimi hata sijui inch Nina kilo TU nyingi... Nashindwa vaa nguo vizuri..nshaulizwa una mimba Mara mbili.[emoji25][emoji25]
[emoji23][emoji23][emoji23]....Mkuu hata kitambi unataka upigie punyetoWeka picha tumbo
Kwakweli kitambi .Noma..alijiimbia Bamboo..Usinichekeshe juzi nimepost status, picha mtu akasema hongera naona umeamua kuzaa fasta fasta.
Mwingine akaniambia najitahidi kuficha mimba ila inaonekana uwii nikaifuta ile picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kushindana na nature ni ngumu sana. Hususani kama kwenu ni vibonge.Jamani...sitaki kuwa chibonge...Kwetu unamaradhi ya Pressure na Moyo..Sasa nikizidi nenepa nazidi kuwa kwenye rizk
Asante mkuu...ntalifanyia kazi hili1. Tengeneza juice ya ukwaju pure (uchemshe na usiweke sukari au asali) na kunywa asubuhi kabla ya kula chochote. Ukiweza kunywa na jioni. Utaharisha. Komaa na hii kitu kwa hata miezi miwili. Kama upo Dar, ukwaju unapatikana masokoni kama Kkoo, Mwenge, Mabibo.
2. Punguza au acha kabisa kutumia sukari (chai, soda, juice za hotelini ambazo zimejaa sukari, pombe iliyozidi etc)
3. Anza kula nusu ya kiasi cha chakula unachokulaga normally (chapati moja instead of 2, mpakuo mmoja wa wali instead of 2, nusu ya samaki badala ya mzima etc etc)
4. Zidisha unywaji wa maji
5. Fanya mazoezi simple. Kama huwezi kujog, tembea. Kama huwezi kutembea, fanya home. Download app za mazoezi. Mimi natumia Nike Training (NTC) ipo kwa Android na Apple as well
Kila la kheri!