Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Nilisikia takwimu, inatakiwa kila mtz ale kilo 50/year na Lita 200 za maziwa.Kwenye maziwa nimebakisha Lita 25 tu,ila nyama bado sana
Bila Shaka Wengi Sana Tupo Chini Ya Kiwango
Hali Zetu Tete Sana Kuanzia Upatikanaji Wa Cash
Huyo Hilo Tumbo Afuate Taratibu Mbinu Atafanikiwa
 
Kumbe ndo wewe
255759793284_status_0f8115704488462281b4a542bc1c8a05.jpg
 
Mimi Ni Ke..Nina tumbo kuubwa, nimejaribu njia Tofauti Tofauti ila sijapata matokeo.

Nlikua nafanya mazoezi na nikipata matokeo chanya ..ila nikashtuka goti..nikifanya mazoezi linauma goti.

Je nitumie.njia gani.mbadala wa mazoezi ili nifikie lengo.
.nakosa confidence na hili tumbo langu.

N.B Picha Siwezi tuma kwa wale wapenda picha.
Weka picha tumbo
 
Acha kuibia watu na madawa yenu ya kiajabu ajabu,haya madawa yenu yamekuwa vyanzo vikuu vya magonjwa ya ini na figo

ÑB muhusika wa unene usijaribu kudanganywa eti tumia forever living au sijui Ngetwa,hizi dawa ni hatari sana kwa afya za watu
Sikuwa najua kuwa haya madawa Ni chanzo Cha magonjwa ya Ini na Figo. Huwa wanasema Ni virutubisho vitokanavyo na mimea. 🙄
 
Acha kuibia watu na madawa yenu ya kiajabu ajabu,haya madawa yenu yamekuwa vyanzo vikuu vya magonjwa ya ini na figo

ÑB muhusika wa unene usijaribu kudanganywa eti tumia forever living au sijui Ngetwa,hizi dawa ni hatari sana kwa afya za watu
Sikuwa najua kuwa haya madawa Ni chanzo Cha magonjwa ya Ini na Figo. Huwa wanasema Ni virutubisho vitokanavyo na mimea. Tunaomba shule zaidi na zaidi katika hili eneo🙄
 
Sikuwa najua kuwa haya madawa Ni chanzo Cha magonjwa ya Ini na Figo. Huwa wanasema Ni virutubisho vitokanavyo na mimea. [emoji849]
Hiyo ni lugha ya biashara tu mkuu,tathimini iliyotolewa na wataalamu wa magonjwa ya figo na ini inasema kuwa takribani 60+% ya magonjwa ya ini na figo chanzo chake ni madawa ya kienyeji,huku wahanga wakubwa wakiwa watu kutoka katika majiji na Miji mikubwa ambako hawa forever living,Bf suma, nk wamejikita sana,

Jiulize kwanini wagonjwa wasitoke vijijini ambako ndo watu wengi hupenda kutumia dawa za kienyeji?
 
84KG ni manageable easily.

Nitakua mkweli. Katika kutaka kupungua zoezi kuu inabidi liwe kukimbia ila kwakua goti linakusumbua ukijog unajitonesha hiyo inamaanisha tuskip hiyo phase na turuke moja kwa moja kwenye mazoezi yasiyohitaji goti litumike.

Kama umenotice sijasema diet ni tatizo hiyo ni kwakua kwa ninavyoamini mimi haijalishi unakula nini but if you work harder hiko chakula unachokula kitakua ni fuel yako ya mazoezi.

So unachotakiwa ni kufanya sit ups, crunches, sit ups, kusukuma rollers, fanya squats na kutembea. Usikimbie tembea.

Niliwahi kuandika huo uzi ila nikaufuta ukicheki watu walioniquote mwanzoni utapata the whole scenario

Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa
 
Mkuu...kinyesi hakiwezi kuwa kingi namna hiyo...hili tumbo lilianza kuwa kuubwa..baada ya kuandikiwa Dawa flani hivi hospital..nikawa NAPATA appetite yakula... Nliyoka kilo 64 Hadi 94.. saiv na 84..nataka nipunguze hizi 20..

Nakosa kukiamini nikiwa na mahusinao
Badilisha kula Asubuhi kunywa chai muhogo au viazi vitamu 2 kwa wiki moja, mchana kula mbogamboga kiasi kidogo na usiku matunda tu usile chochote ikifika saa 2 usiku. Kwenye wiki moja siku 3 kunywa kilasi 5 za juisi ya malimau(mfano jumamosi hadi jumatano glasi 1 kwa siku)Fanya hivyo kwa wiki halafu lete mrejesho.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mh... Mimi hata sijui inch Nina kilo TU nyingi... Nashindwa vaa nguo vizuri..nshaulizwa una mimba Mara mbili.[emoji25][emoji25]

Usinichekeshe juzi nimepost status, picha mtu akasema hongera naona umeamua kuzaa fasta fasta.
Mwingine akaniambia najitahidi kuficha mimba ila inaonekana uwii nikaifuta ile picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usinichekeshe juzi nimepost status, picha mtu akasema hongera naona umeamua kuzaa fasta fasta.
Mwingine akaniambia najitahidi kuficha mimba ila inaonekana uwii nikaifuta ile picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli kitambi .Noma..alijiimbia Bamboo..
 
1. Tengeneza juice ya ukwaju pure (uchemshe na usiweke sukari au asali) na kunywa asubuhi kabla ya kula chochote. Ukiweza kunywa na jioni. Utaharisha. Komaa na hii kitu kwa hata miezi miwili. Kama upo Dar, ukwaju unapatikana masokoni kama Kkoo, Mwenge, Mabibo.

2. Punguza au acha kabisa kutumia sukari (chai, soda, juice za hotelini ambazo zimejaa sukari, pombe iliyozidi etc)

3. Anza kula nusu ya kiasi cha chakula unachokulaga normally (chapati moja instead of 2, mpakuo mmoja wa wali instead of 2, nusu ya samaki badala ya mzima etc etc)

4. Zidisha unywaji wa maji

5. Fanya mazoezi simple. Kama huwezi kujog, tembea. Kama huwezi kutembea, fanya home. Download app za mazoezi. Mimi natumia Nike Training (NTC) ipo kwa Android na Apple as well

Kila la kheri!
Asante mkuu...ntalifanyia kazi hili
 
Back
Top Bottom