Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

mkuu umetoa ushauri wa maana sana,mimi nilikuwa na kitambi na hapa ninapoishi kuna mlima mkali,kila siku asubuhi na jioni nilikuwa naenda kupanda ule mlima na nilikuwa natumia lisaa limoja kupanda tu
sina kitambi kabisa na nasema wazi shemeji yenu ndiye anayefaidi tukiwa kwenye ile shunguli yetu
huyu jamaa aliyeomba ushauri afate hilo

uthubutu tu hatuna wa kuacha kulakula ovyo

Ndio maana JF NI PAHALA NISIPOPENDA KUKOSA, umevunja mbavu zangu.

Eeeee,huyu tena

Achana na mavitu ya kichina utajapata cancer ya utumbo bure we CHUKUA MDALASINI VIJIKO 2 CHANGANYA NA ASALI MBICHI VIJIKO 2 KULA MCHANGANYIKO HUO ASUBUH KABLA HUJAPIGA MSWAKI NA JIONI KABLA HUJALA TUMBO LITAPUNGUA HARAKA NA HUTAPATA MADHARA YYT ZAID YA KUIMARISHA KINGA YA MWILI. kila la kheri

Thanx,jf the best skul

unapopatwa na tatizo, kwanza fikiri wewe binafsi unaweza kufanya nini kuondokana na tatizo hilo kabla ya kumtafuta daktari. unaweza kuacha kwanza soda ya aina yeyote, juice yeyote ya kiwandani, punguza vyakula vinavyopikwa katikati ya mafuta mengi staili kama ya chipsi au maandazi, usinywe kahawa au chai ya rangi au kinywaji chochote chenye kaffeina, punguza vyakula vya wanga(carbs) na ule zaidi matunda na mboga za majani (asilimia 80 ya mlo wako wa siku iwe matunda+majani), tembea lisaa limoja bila kusimama kutoka kituo A mpaka B(uwe na saa kabisa),kunywa maji ya kawaida katika joto la kawaida ml 500 kila nusu saa kabla ya kula, usikae muda mrefu katika kiti. mwisho, kajisomee: uzito, utipwatipwa/unene kupita kiasi | maajabu ya maji

Sasa mkuu huyu akinyamba si tunapata MW 200 kabisa na mgao unaisha?!!! manake hii tena ni hatari sana

Kama hautaki gym basi option zilizobaki ni hizi :-

- funga ndoa na kicheche
- hamia uswahilini
- ingia jukwaa la siasa JF
- pekua simu ya mwenza wako
- Shabikia Arsenal

Kama hazijatosha nijulishe nikupatie za ziada.

Hapo umeona umeongea cha maana sana yani,duuh

/-Naona we ndg yangu uchizi unakuanza mambo ya vitambi na arsenal wapi na wapi kwa taarifa yako babu kakufuka

/-Naona we ndg yangu uchizi unakuanza mambo ya vitambi na arsenal wapi na wapi kwa taarifa yako babu kakufuka

nilijua tu mtavamia! hapa tunatoa tiba bana! kanisubiri jukwaa la sports ukitaka ufafanuzi.
washabiki wa goonerz bana!

Kama hautaki gym basi option zilizobaki ni hizi :-

- funga ndoa na kicheche
- hamia uswahilini
- ingia jukwaa la siasa JF
- pekua simu ya mwenza wako
- Shabikia Arsenal

Kama hazijatosha nijulishe nikupatie za ziada.

we mchawi?

Kama hautaki gym basi option zilizobaki ni hizi :-

- funga ndoa na kicheche
- hamia uswahilini
- ingia jukwaa la siasa JF
- pekua simu ya mwenza wako
- Shabikia Arsenal

Kama hazijatosha nijulishe nikupatie za ziada.
kwenye red mkuu!

Kama hautaki gym basi option zilizobaki ni hizi :-

- funga ndoa na kicheche
- hamia uswahilini
- ingia jukwaa la siasa JF
- pekua simu ya mwenza wako
- Shabikia Arsenal

Kama hazijatosha nijulishe nikupatie za ziada.

Kaka! kaka! kaka! kaka!! utani mwingine angalia????!!!!!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…