Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
utachukuliwa hela zako bure mchawi wa kitambi ni chakula tuu, hizo dawa wanaita sijui lishe dawa na majina mengine ni namna tuu ya kutafuta hela na ukizingatia tushachanganyikiwa na uzito na vitambi, punguza wanga ama acha kabisa, acha sukari zote, acha pombe zote, tumia zaidi matunda yasiyo na sukari, vyakula vya proten kwa wingi pia mboga za majaniHivi hio procedure sio kwa watu wenye constipation??? mwenzako nataka kujaribu hii ya Forever Living, nimeona reviews ni nzuri nataka kujaribu, inaitwa C9