Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,259
- 1,056
pia kama watumia internet explorer katika pc yako download real player and then install it baada ya kuactivate hiyo real player fungua browser (internet explorer) baada ya kuingia you tube peleka kasa yako juu kulia kidogo ya hiyo video inayo play itatokea option ya "download this video" uki click tu oh yeah there you go. Ukitaka hizo software za real player na zingine please visit filehippo.com - download free software.
Karibu sana.
wadau naomba kujuzwa jinsi ya kudowload youtube zilizopo kwenye site nyingi kama video za muziki na nyingine nikifungua tube sioni sehemu ya kudowload hiyo tube
Wala huhitaji program yeyote. Fungua youtube na utafute video unayoitaka then nenda kwenye address bar, futa www. alafu weka ss yani kama Wellington Silva - Arsenal's Future - YouTube unafuta inabaki ssyoutube.com/watch?v=aJze590ssyM&feature=g-vrec kisha bonyeza ENTER. Itafunguka website kwa ajili ya kuidownload hiyo video utaiona inaitwa save from net.
Kwenye page ya 'save from net' utakuta option upande wa kushoto mfano: mp4, flv, 3gp.. Chagua format unayotaka na video itaanza kudownload. Huhitaji ku'install program ingine yeyote. You can do it from the web.
1.Install IDM downloader
2.Play video kwenye you tube then copy hyo link then kwenye youtube toa hilo neno weka voobsy then weka enter utaidownload pasipo kutumia software
Tafadhali naomba msaada wa namna ya ku-download video kutoka kwenye YOUTUBE. Thanks in advance.
Tumia browser ya Internet Explorer na Real player kama unatumia G.Chrome inakataa.Naomba mnipatie tafadhali, IDM na Real player zinanigomea.