chrisman49
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 352
- 77
download add.on za firefox youtube downloader au download direct ukiwa na maxthon browser
naomba msaada kudownload video katika youtube nitafanya ili niweze kudownload video jamani naombeni msaada wenu jamani
Wala huhitaji program yeyote. Fungua youtube na utafute video unayoitaka then nenda kwenye address bar, futa www. alafu weka ss yani kama Wellington Silva - Arsenal's Future - YouTube unafuta inabaki ssyoutube.com/watch?v=aJze590ssyM&feature=g-vrec kisha bonyeza ENTER. Itafunguka website kwa ajili ya kuidownload hiyo video utaiona inaitwa save from net.
Kwenye page ya 'save from net' utakuta option upande wa kushoto mfano: mp4, flv, 3gp.. Chagua format unayotaka na video itaanza kudownload. Huhitaji ku'install program ingine yeyote. You can do it from the web.
kama unataka kuziplay utaweza lakini sio ku download..kwa sasa zimewekewa kizingiti kwa sababu ya copy rights, na piracy laws.zamani kunako mwaka jana kurudi nyumba ilikuwa unaweza ku download na ko copy na convert kwenda version nyengine lakini sasa wla usihangaike.hata real player ukiwa nayo basi huwezi .
kaka kweli JF ni darasa huru,thanks big kiongozi!
Watu kama nyie ndo ndo akina steve jobs wa TZ!
Vp kuhusu video zilizopo facebook?nazo nazidownload vipi kaka?
Msaada
Jaribu hii Video Scavenger Watch videos free, funny home videos, free video downloads, films,kaka kweli JF ni darasa huru,thanks big kiongozi!
Watu kama nyie ndo ndo akina steve jobs wa TZ!
Vp kuhusu video zilizopo facebook?nazo nazidownload vipi kaka?
Msaada
keepvidz.com make sho' umeinstal java runtime kwenye cmpter yako.