Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
Mkuu nipe namba yako ya simuMkuu samahani nina shida ya kuwasiliana na wewe nimejaribu kukucheki pm naona ujumbe haufanikiwi kutoka. Samahani mkuu kama hutojali nijulishe ni njia ipi tutumie kuwasiliana. Ahsante sana
Mkuu nipe namba yako ya simu
🙈
Download Torch browser.Habari wana jamii forums,
Nilikuwa naomba msaada wa program ambayo naweza kuitumia kudownload videos kwenye Youtube kwa kutumia PC.Ukiachana na Youtube downloader na IDM, program gani zingine ninaomba kujulishwa.
Ninasubiri msaada wenu.
Asante.
Videoder.
Ikisumbua hiyo fanya kama ifuatavyo.
1.Fungua video unayoihitaji.
2.Nenda kwenye dots 3 za juu kulia, chagua 'Share' kisha italeta options nyingi.
3. Copy links(video adress).
4.Nenda katika browse, search Online videoconverter/Online video downloader/Youtube to mp4. Zote hizo zinafaa, ikifunguka itaweka uwazi na kisha...
5.Paste link.
6. Download format uipendayo katika size unayoyaka.
NB.Baadhi ya simu hazina option ya kushare/copy link hasa kama unafanya update ya YouTube yako mara kwa mara
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa pazuriVideoder.

Unaweza pia kuCopy link, then searh SaveFromNet
Utaweza kudownload pia hasa videos
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii vidmate ata niisearch vipi kwenye playstore siipati ile ya kudownload video ya youtube.Watumia Simu
Vidmate
Unaweza kudownload video Youtube, Instagram,Facebook n.k ni nzuri kwa simu.
Watumia Pc
Idm(internet download manager)
Video yeyote kwenye site yeyote swaka tu ikiplay kwenye screen unaweza kudownload.
Hii vidmate ata niisearch vipi kwenye playstore siipati ile ya kudownload video ya youtube.
Tumia Google kwa urahis zaidHii vidmate ata niisearch vipi kwenye playstore siipati ile ya kudownload video ya youtube.
Asante mkuu. Ngoja nijaribu kwa hiyo njia.
Asante mkuu ngoja nifanye ivyo. Hii app inavunja sheria km whatsap gb. Huiwezi kuipata playstore.App kama hizi huwa hazipatikani playstore sababu zinavinja sheria.
Nenda google search utaipata