Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Download ummy downloader afu nenda kwa YouTube search unachotaka ukipata right click afu click tena neno linasema copy video url then rudi kwenye program yako ya ummy Downloader utakuta video yako inaload then ikimaliza utaclick download utakuwa umemaliza kabisaa
 
Naomba kufahamu jinsi ya ku download YouTube video kwa urahisi kwenye Iphone 6. Nimejaribu kutafuta App kama videoder, youtube downloder na zinginezo lakini sijazipata kwenye Apple store.
 
Sijafungua youtube kwenye simu muda mrefu ila nakumbuka kama mara ya mwisho niliwahi kuona unaweza kudownload kupitia hukohuko youtube.

Ila tubemate ndio imetulia.
 
Kama unatumia simu, basi vidmate ndio mahala pake. Sio kwa YouTube pekee, mpaka Facebook na mitandao mingine yote. Weka mawasiliano yako nikutumie application yake...
 
Mbali na IDM Internet Download Manager naweza kutumia software gani kudownload movie ambayo ina panda/kufanya kazi kama IDM, cause IDM sometime haipandi baadhi ya site hivyo inaniwiya vigumu Kudowload ...please friends help me
 
Mbali na IDM Internet Download Manager naweza kutumia software gani kudownload movie ambayo ina panda/kufanya kazi kama IDM, cause IDM sometime haipand baadh ya site hivyo inaniwiya vigumu Kudowload ...please friends help me
Wewe unataka kudownload movie kwenye site gani ambapo idm haiwez?
 
Back
Top Bottom