KingOligarchy
Senior Member
- Sep 28, 2013
- 139
- 375
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Funny Facts!
Ukiingia kwenye soko la hisa la dar es salaam, idadi ndogo ya hisa za kununua ni hisa 10,
thamani ya hisa moja kwa makampuni kwa report ya jana ni kama ifuatavyo
Sasa Njia za kupata msosi ziko hivi, kwa sheria ya soko la hisa la Dar es salaam, kila mwaka kila kampuni lazima lifanye Annual General Meeting (AGM). ambapo ni mkutano mkuu wa wanahisa. Ukiachana na baadhi ya makampuni yanafanya online bado mchakato wa face to face upo kwahyo nunua hisa 10 mfano crdb 240*10 =2,400 so roughly kama 2,500 baada ya hapo mwanawani kila mwaka agm ukiitwa kama mwanahisa ni kupiga msosi tu, hahhahahah! (NAMAANISHA BAADA YA MKUTANO WANATOA MSOSI)
sasa funny facts ni kwamba tunachagua kampuni nyingi kama kumi mfano ,kwa hyo tarehe zinakuwa tofauti za msosi (kuku haikosekanikagi hapa) 🙂🙂🙂🙂🙂🙂
lwahyo kila mwaka unaenda kwenye mkutano unagonga menu tu, huu nao ni UWEKEZAJI na Matunda ya PESA YAKO UTAYAONA
kumbuka mwanawani wanahisa mara nyingi wanajipakulia
🙂😀😀😀😀😀😀😀😀 dotnt take it too serious, at the end of the day atleat umejua bei za hisa za sokoni na pia kwamba kila mwaka lazimakuwe na mkutano mkuu wa mwaka
na MSOSI PIA.
WENGINE WANATOA HADI VIPARCEL FLANI AMAZING
😛😛😛😛😛