bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,217
Habari wanajukwaa,
Taasisi za Usalama wa taifa ni moja ya taasisi nyeti kwenye taifa lolote duniani ambapo tukiwa nje huwa tunasikia au kuambiwa kwamba wanaofanya kazi humo ni watu wenye mafunzo maalum na huwa hawajionyeshi au kujitangaza kwa watu kuhusu wanachofanya.
watu wengi wamekuwa wakivutiwa kujiunga na taaisisi za serikali zinazohusika na ulinzi, moja ya taaisisi hizo ni JWTZ na TISS,leo nazungumzia jinsi ya kupata kazi TISS
moja ya mahitaji makubwa ya mtu kupata kazi hii ni kutakiwa kuwa na akili ya ziada na sio akili ya kawaida tuliyozoea ambapo upatikanaji wa watu wa aina hii hupitia hatua mbalimbali’
idara hii mostly imekuwa ikiangalia familia uliyotoka ina historia gani,hatua za kufata;
1.ukiwa shule soma kwa bidiii sana ufaulu sana
2.Kuwa mdadisi wa mambo mbalimbali
3.kuwa na kipaji cha kipekee
4.kuwa mcheshi kwa wenzako
5.waheshimu baba na mama yako
6.heshimu jamii inayokuzunguka(maana hawa husaidia 90%) uchukuliwe