Jinsi ya kupata kazi TISS

Jinsi ya kupata kazi TISS

Wadada wanatafuta kazi wanapatikana

Isabella ana diploma ya administration ๐Ÿ“ž +255 754 773 072 ( stationary+ office attendant ) na etc

Catherine form 4
(Kuuza duka + saloon za kiume+ shell)
๐Ÿ“ž +255 678 166 843

Kwa mwenye uwezo wasiliana nao
Ahsante
 
A PART FROM B.O.T IKULU SEHEMU YINGINE KULIKO JAA NYOKA NI JWTZ
 
Jana nimekutna na demu Happ sinza bamaga analalamika kuwa jama wa mzena pale kamnyanga vitu alivyo mnunulia vya stationary kisa na mkasa jama alimduakua akamkuta demu anadate na wanaume wengine
 
Habari wanajukwaa,

Taasisi za Usalama wa taifa ni moja ya taasisi nyeti kwenye taifa lolote duniani ambapo tukiwa nje huwa tunasikia au kuambiwa kwamba wanaofanya kazi humo ni watu wenye mafunzo maalum na huwa hawajionyeshi au kujitangaza kwa watu kuhusu wanachofanya.

watu wengi wamekuwa wakivutiwa kujiunga na taaisisi za serikali zinazohusika na ulinzi, moja ya taaisisi hizo ni JWTZ na TISS,leo nazungumzia jinsi ya kupata kazi TISS

moja ya mahitaji makubwa ya mtu kupata kazi hii ni kutakiwa kuwa na akili ya ziada na sio akili ya kawaida tuliyozoea ambapo upatikanaji wa watu wa aina hii hupitia hatua mbalimbaliโ€™

idara hii mostly imekuwa ikiangalia familia uliyotoka ina historia gani,hatua za kufata;

1.ukiwa shule soma kwa bidiii sana ufaulu sana
2.Kuwa mdadisi wa mambo mbalimbali
3.kuwa na kipaji cha kipekee
4.kuwa mcheshi kwa wenzako
5.waheshimu baba na mama yako
6.heshimu jamii inayokuzunguka(maana hawa husaidia 90%) uchukuliwe
Urojo kuwa UVCCM na connection over.
 
Jana nimekutna na demu Happ sinza bamaga analalamika kuwa jama wa mzena pale kamnyanga vitu alivyo mnunulia vya stationary kisa na mkasa jama alimduakua akamkuta demu anadate na wanaume wengine

Wakuchora huyo
 
Jana nimekutna na demu Happ sinza bamaga analalamika kuwa jama wa mzena pale kamnyanga vitu alivyo mnunulia vya stationary kisa na mkasa jama alimduakua akamkuta demu anadate na wanaume wengine
Demu mwenyewe sio wewe?
 
Pole kumbe hujui hii kazi inawatu kusoma nakuandika hawajui shughuli zao ningumu zahatari nawakithibitisha Jambo hawajakosea kilasiku nikikaa nae ananiambiaga nisevie hii namba kwenyesimu hajasevu jinahatamoja lakini Yuko ofisi ya rais nikikaa nae Kama tunakula pombe naendaga chooni nacheeeeeka narudi nakaa badala nikojoe naenda kicheka............kwa kukariri hawajambo na hupewa maeneo yakufanyia kazi changanyikeni na maeneo yenye miradi mikubwa ya serikali. Wanalimaga Hadi kulima anauza mboga jioni asb Kama kawaida kazini
Sio kwamba hawajui kusoma au kuandika huwa ni zuga tu

Mimi shemeji yangu kaishi na sister miaka 11 tukijua hajui kusoma wala kuandika mara nyingi nilikuwa namsomea sms zake na most zilikuwa ni za mitandao yenyewe

End of the day Tukashangaa JPM kamteua kuwa mkuu wa pccb mkoa fulani kusini huko tukaona yupo anasoma hutuba mbele ya waandishi wa habari
 
Yule jamaa ni shem wako kumbe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hayo ni mambo ya kawaida ambayo binadamu wa kawaida anapaswa kuwa nayo, si kwa ajili ya kuajiriwa sijui na Tiss
 
Sio kwamba hawajui kusoma au kuandika huwa ni zuga tu

Mimi shemeji yangu kaishi na sister miaka 11 tukijua hajui kusoma wala kuandika mara nyingi nilikuwa namsomea sms zake na most zilikuwa ni za mitandao yenyewe

End of the day Tukashangaa JPM kamteua kuwa mkuu wa pccb mkoa fulani kusini huko tukaona yupo anasoma hutuba mbele ya waandishi wa habari
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hapo ndiyo ulijua kumbe ulikuwa hujui kitu
 
Back
Top Bottom