Jinsi ya kupata kazi TISS

Jinsi ya kupata kazi TISS

kwenye kila kitu kuna njia, ukiangalia watu wanaofanya kazi TISS 90% ni vipanga ,wachcahe sana ndio waingia kwenye hilo kundi lingine..

hawa jamaa hawachukui mbumbumbu
Vipanga unakusudia nini ?

Kwa sababu tunawajua watu walikuwa kawaida tu darasani na wamepata kazi huko,kikubwa huko uwe na cheti cha form four na uwe na akili timamu kama watu wengine.

Kipanga vigezo uwe na div 1,2 or 3 ?
Wakati huo huo TISS kibao sasa hivi wapo mavyuoni wanajiendeleza kielimu kwa maana hawakuingia na elimu kubwa,wewe unasemaje ?

Au kipanga uwe umefanya vumbuzi gani ili uwe TISS ?
 
Acheni kudanganyana wazee.

Sifa ambazo unatakiwa kuwa nazo ili uwe polisi,jeshi nk ndizo sifa hizo hizo mtu anatakiwa kuwa nazo ili awe usalama.

Sema kimtaamtaa tunalishana sumu sana wazee.

Hakuna kitu special sana ambacho unatakiwa kuwa nacho ili uwe katika idara ya usalama.
Tell her
 
Vipanga unakusudia nini ?

Kwa sababu tunawajua watu walikuwa kawaida tu darasani na wamepata kazi huko,kikubwa huko uwe na cheti cha form four na uwe na akili timamu kama watu wengine.

Kipanga vigezo uwe na div 1,2 or 3 ?
Wakati huo huo TISS kibao sasa hivi wapo mavyuoni wanajiendeleza kielimu kwa maana hawakuingia na elimu kubwa,wewe unasemaje ?

Au kipanga uwe umefanya vumbuzi gani ili uwe TISS ?
kwani kujiendeleza kielimu huna akili? mimi nina ushahidi nA PROF ALIENIFUNDISHA ALIANZIA CHETI MPAKA KUWA PROF
 
kwani kujiendeleza kielimu huna akili? mimi nina ushahidi nA PROF ALIENIFUNDISHA ALIANZIA CHETI MPAKA KUWA PROF
Sasa unaposema kuwa TISS uwe kipanga huo ukipanga unapimwaje ili uchaguliwe Tiss ?

Watajuaje kwamba wewe ni kipanga ?
 
Mbona kuna kazi nzuri tu huko nje ambazo hazihitaji kuwa mmbea? Kazi za kukusanya na kupelekea watu wengine taarifa za umbea waachieni akina dada km vile Mange Kimambi.
 
Nje ya mada.
Wakuu naomba niulize swali,hivi tiss awahusiki kwenye kunusa au kufanya ushushu kwenye utoroshwaji wa rasilimali za nchi,au wao ni mambo ya usalama wa nchi tu?
Wapo kwenye taasisi zote za serikali unazozijuwa wewe, TRA, BOT, TPA and likes.

Zile ziara za kushtukiza ukisikia Rais au waziri mkuu anaongelea uozo wa sehemu aliyotembelea huwa anakuwa tayari amepewa briefing na yuko well informed na anachokiongea, basi hapo ndio ujuwe wazee wa kitengo walishapeleka taarifa yote.
 
Back
Top Bottom