Jinsi ya kupata kazi TISS

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,217
Habari wanajukwaa,

Taasisi za Usalama wa taifa ni moja ya taasisi nyeti kwenye taifa lolote duniani ambapo tukiwa nje huwa tunasikia au kuambiwa kwamba wanaofanya kazi humo ni watu wenye mafunzo maalum na huwa hawajionyeshi au kujitangaza kwa watu kuhusu wanachofanya.

watu wengi wamekuwa wakivutiwa kujiunga na taaisisi za serikali zinazohusika na ulinzi, moja ya taaisisi hizo ni JWTZ na TISS,leo nazungumzia jinsi ya kupata kazi TISS

moja ya mahitaji makubwa ya mtu kupata kazi hii ni kutakiwa kuwa na akili ya ziada na sio akili ya kawaida tuliyozoea ambapo upatikanaji wa watu wa aina hii hupitia hatua mbalimbali’

idara hii mostly imekuwa ikiangalia familia uliyotoka ina historia gani,hatua za kufata;

1.ukiwa shule soma kwa bidiii sana ufaulu sana
2.Kuwa mdadisi wa mambo mbalimbali
3.kuwa na kipaji cha kipekee
4.kuwa mcheshi kwa wenzako
5.waheshimu baba na mama yako
6.heshimu jamii inayokuzunguka(maana hawa husaidia 90%) uchukuliwe
 
Acheni kudanganyana wazee.

Sifa ambazo unatakiwa kuwa nazo ili uwe polisi,jeshi nk ndizo sifa hizo hizo mtu anatakiwa kuwa nazo ili awe usalama.

Sema kimtaamtaa tunalishana sumu sana wazee.

Hakuna kitu special sana ambacho unatakiwa kuwa nacho ili uwe katika idara ya usalama.
 
sawa ewe "kizazi cha mwendazake"
 
Mi nafikiri tukiachana na hayo wanahitaji kila aina ya watu unaweza usiwe hivyo na ukawa kwa matumizi fulani.
why bother?? ishi kwenye maisha yako wakikutaka watakutafuta wakikumaliza watakutupa
kwenye kila kitu kuna njia, ukiangalia watu wanaofanya kazi TISS 90% ni vipanga ,wachcahe sana ndio waingia kwenye hilo kundi lingine..

hawa jamaa hawachukui mbumbumbu
 
Na hakuna mtu mbumbumbu [emoji847]
Kila mtu ana uwezo wake kwa nafasi yake mkuu...
i do understand ,exactly no taburalasa in this world, lakini tunatofautiana IQ kutokana na mazingira na malezi,
 
Alaaah kumbe koneksheni muhimu..

Okay.. ngoja nijipendekeze sasa.. nawajua kadhaa mmoja aliwahi kuwa mlinzi wa waziri fulani saivi naona kawa mbunge.. na kuna mzee mmoja ivi ila kwa sasa ni marehemu naona kaingiza mtoto wake wa kike humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…