Jinsi ya kupata kazi za remote katika mashirika ya kimataifa yaliyo nje

Bado hujanielewa. Haswa nikisema classified employee. Yaaani uwe na kazi kwanza ndio options za remote utapata.
Classified hata form six au huyo binti wa linkedin uliyemtuma anaweza kuwa kwenye hiyo category. Pata kazi then mengine yanafta.(blue collar) classified.
 
Ok, that is interesting. Nilikua sifahamu hilo mkuu!!
 
Ok, that is interesting. Nilikua sifahamu hilo mkuu!!
Wewe inabidi ufike marekani ili uvute vijana. Hyo njia uliyotumia ni self effort sana. Tena saaaaaaaaana. Nenda uvute watu. Achana na hiyo nenda kajifunze kitu. Vijana wengi kwenda nje wanakwama nauli, nikiwa huko nikiwa bado kijna mdogo niliona mabro wengi wakitamani wajifunze hivi vtu vya kufika majuu though it's not that simple. Hawana hela. Waliishia south, joburg na soweto na blantyre.
 
Ok mkuu, nimekupata vyema kabisa!
 
Tapeli na mwongo. Tafuta kazi ya kufanya wewe. Ungekuwa unalipwa $7500 wa mwezi usingekuwa humu na ushuzi wako saa hizi.
Pumbavu kenge wewe
Utapeliwe una nini mbuzi wewe, hata kula yako ni mgogoro,
stupidass fukc

TheCrocodile, niachie hii mbuzi nidili nayo inavyotakiwa
Hawa mang'ombe ndio wanatakiwa kujibiwa hivi
Keep up the goodwork, wafundishe vijana, huku tumelala sana
 
Mara mia tungekua tunapata kama wewe. Watu wamekalia tu kula tunda kimasiara,kuzaa na wake za watu, kuachana na mademu zao, na wengine kutafuta mashoga wenzao.
Kwa mada hii,watu wakibadilishana mawazo,kupeana connection,hakika wengi watafaidika. Mkuu,utakuta kuna watu wanatamani,na bahati ipo,lakini bila kukutana na watu,hasa wenye moyo kama wako,wataanzaje! Ubalikiwe sana.
 
Mzee naomba unitafutie chuo Cha kufundisha physics huko mamtoni....maana hapa bongo nshachoka kufundisha hivi vyuo vya st. kayumba, Yani chuo Haina tofauti na high school
Mkuu kazi si umepata hivi karibuni tu?
Mbona huna uvumilivu au unaishi miaka ya kibiblia kuwa miaka 1000 sawa na siku moja au siku moja sawa na miaka 1000?
 
Mjomba, kila kitu kinafaa kwa wakati wake.
Huwezi kula tunda muda wote.

Na huwezi fanya kazi muda wote.

Vyote muhimu lkn kwa wakati wake.

Hawa wajumbe humu, ndio hawa hawa wachangiaji kwa uzi wa kimasihara pia😂😂
 
Watu wengi humu wana stress za TGS na wengine ni jobless.

Akisikia mtanzania mwenzie analipwa pension yake ya uzeeni kwa miezi miwili tu basi roho inaumuuma na kumfukuta.

Sema ndio life.
 
Shukrani sana mkuu!!
 
Mkuu kazi si umepata hivi karibuni tu?
Mbona huna uvumilivu au unaishi moaka ya kibiblia kuwa miaka 1000 sawa na siku moja au siku moja sawa na moaka 1000?
Hahahaha..!! Labda ameshaichoka tayari ndani ya muda mfupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…