Jinsi ya Kupata watoto Mapacha kwa njia ya kawaida

Jinsi ya Kupata watoto Mapacha kwa njia ya kawaida

Salaam wanabodi..mimi na mwenzangu tunatamani sana zao letu la kwanza tupate twins...naomba kuuliza kama kuna njia ya kitibabu ambayo tunaweza kutumia ili tupate twins...je kuna ushauri wowote wa kidaktari ambao tunaweza kuapply ili mke wangu aweze kupata mapacha? Je hili la mapacha linawezekana kama wataalam wanavyo dai la kuchagua jinsia linawezekana..naombeni msaada wakuu.

Sio mapacha tu hata ukitaka jike au dume utapata. Dini na sayansi haipatani. Wana Dini pia walisema ni kufuru kwenda mbinguni kusoma sayari au kutua mwezini. Tukirudi kwenye swali lako, ni rahisi kupata pacha lakini kwa kutumia njia ya sayansi siyo ya mapenzi ya kawaida. nenda hospitali yoyote yenye uwezo wa kutumia technology Ya IVF , Zipo nyingi Afrika Kusini na India . Lakini pia ujue kuwa Ina risks za miscarriage, japo Nina rafiki alifanikiwa India kupata mapacha kwa njia ya IVF na Clomid inasaidia kwa mwanamke kutoa mayai pacha . Wa naotesha mayai mawili (embryos) kwa mwanamke kupata mapacha.
 
Sio mapacha tu hata ukitaka jike au dume utapata. Dini na sayansi kaipatani. Wana Dini pia walisema ni kufuru kwenda mbinguni kusoma sayari au kutua mwezini. Tukirudi kwenye swali lako, ni rahisi kupata pacha lakini kwa kutumia njia ya sayansi siyo ya mapenzi ya kawaida. nenda hospitali yoyote yenye uwezo wa kutumia technology Ya IVF , Zipo nyingi Afrika Kusini na India . Lakini pia ujue kuwa Ina risks za miscarriage, japo Nina rafiki alifanikiwa India kupata mapacha kwa njia ya IVF na Clomid inasaidia kwa mwanamke kutoa mayai pacha . Wa naotesha mayai mawili (embryos) kwa mwanamke kupata mapacha.

mkuu mimi nilikuwa nataka ile ya jasho letu wenyewe sio ya kuotesha..anyway asante sana.
 
Sio mapacha tu hata ukitaka jike au dume utapata. Dini na sayansi kaipatani. Wana Dini pia walisema ni kufuru kwenda mbinguni kusoma sayari au kutua mwezini. Tukirudi kwenye swali lako, ni rahisi kupata pacha lakini kwa kutumia njia ya sayansi siyo ya mapenzi ya kawaida. nenda hospitali yoyote yenye uwezo wa kutumia technology Ya IVF , Zipo nyingi Afrika Kusini na India . Lakini pia ujue kuwa Ina risks za miscarriage, japo Nina rafiki alifanikiwa India kupata mapacha kwa njia ya IVF na Clomid inasaidia kwa mwanamke kutoa mayai pacha . Wa naotesha mayai mawili (embryos) kwa mwanamke kupata mapacha.

Bongo clinic ya IVF ipo mikocheni karibu kabisa na zilipo ofisi za Clouds Media Group pale.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sio mapacha tu hata ukitaka jike au dume utapata. Dini na sayansi kaipatani. Wana Dini pia walisema ni kufuru kwenda mbinguni kusoma sayari au kutua mwezini. Tukirudi kwenye swali lako, ni rahisi kupata pacha lakini kwa kutumia njia ya sayansi siyo ya mapenzi ya kawaida. nenda hospitali yoyote yenye uwezo wa kutumia technology Ya IVF , Zipo nyingi Afrika Kusini na India . Lakini pia ujue kuwa Ina risks za miscarriage, japo Nina rafiki alifanikiwa India kupata mapacha kwa njia ya IVF na Clomid inasaidia kwa mwanamke kutoa mayai pacha . Wa naotesha mayai mawili (embryos) kwa mwanamke kupata mapacha.

Dah aisee nilikua sijui kama hii kitu inawezekana aisee.

Kweli duniani kuna mambo..
 
Mkuu nadhani hili ni suala la bahati sana. Kuna kipindi mwanamke anapevua mayai mawili katika mzunguko wake. Sasa mpaka ujue hicho kipindi ndo bahati yenyewe hiyo especially kwa wewe unayetaka kuzaa kwa njia ya tendo la ndoa.
Ukishindwa basi fata ushauri wa ndugu hapo juu - IVF.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
No comment for now. Only one question, umeolewa Shenazi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Teh mkuu nimecheka sana kusikia neno "JASHO LETU",

Ngoja wakuu waje watakuja na solutions nzuri

mkuu usicheke ndugu yangu..yaani tunataman kweli ma twins lakin wale wa kusotea ndani ya six by six..
 
Nimewahi kusikia fertility drugs kama za hormone inayopevusha mayai huweza kusababisha multiple birth
 
Goodluck Mkuu. Kupata mapacha "kwa jasho" lenu ni bahati nasibu na kutegemea historia ya mapacha katika ukoo wenu wawili.
 
mhh! mtafute mama wawili yeyote halafu nunua udongo wa pemba ule wanaokula wajawazito ila uwe ule mweupe. mwambie mkeo apeleke huo.udongo. mama wa2 ataukojolea na kisha atampa mke wako. atakua anapaka usoni kila wakati wa tendo la ndoa. ikishindikana nitafute. mimi pia ni mama wawili. hiyo ni traditional method. kama huna imani basi.
 
Duh! Amina we ni kiboko ushauri wako ameuona mamsup mpaka ikabidi anipigie simu,''ingia jf upitie uzi wetu.kuna mtu anaitwa amina thomas ana bonge la ushauri''
 
asante kaka

zinapatikana hata pharmacy kubwa zipo. tunatumia hata kwa kutibu secondary infertility. Ukipata za kutoka Canada ni nzuri zaidi kuliko za kichina, ila ni expensive kidogo, ila kwa sababu unauwezo wa kuingia humu JF naamini utamudu bei
 
Mkuu MZIZI MKAVU mi mwenyewe na penda sana mapacha na girl friend wangu ni fraternal twin yan pamoja na mengine yote aliyo nayo mazur lakin la yeye kuwa pacha limeongeza nimpende zaidi *100000000000 E

back to topic

kwa msichana ambae ni pacha kuna hereditary homornes ambazo husaidia ovulation kwa ovary zote mbil in a month hence kupata mapacha.Its okey

Tatizo langu lipo kwa mwanaume pacha kama wewe( MZIZI MKAVU) ambae unaoa mwanamke ambae si pacha lakin anazaa mapacha na wanasema imekuwa hivyo coz mwanaume ni pacha!
How does this work wakat ni mwanamke awezaye kureliase two eggs under influnce of hereditary twins gene na mwanaume kaz yake ni fertilization tu.
Mfano
mzizi mkavu (pacha) amuoe mleta uzi (si pacha) wazae mapacha??......
 
african%20american%20twin%20babies.jpg

Getting pregnant with twins, either girl-girl, girl-boy, boy-boy, is said to work out using some natural ways given below. I mean, there isn't any risk involved here and hence no harm trying these tips to get pregnant with twins.

Being Prepared:
Before answering the question how to conceive twins naturally, first of all, you as well as your partner need to be prepared for pregnancy and childbirth, of course. Raising twins can be a difficult job so thorough mental preparation is required from both especially the woman. Also, you as a woman, should be able to carry the twins and thus physical fitness is mandatory. Generally, it has been observed, healthier and taller females tend to give birth to twins often in comparison to others. So the bottom line is, being ready for
anything that comes your way through the process!

Timing the Act:
If you may not be aware, ovulation plays a very crucial role in trying to conceive twins. It is very important to know the ovulation dates properly so as to plan the intercourse accordingly. Also, several intimate positions are said to affect the chances of having twins so make sure, both of you indulge and experiment with them.

Managing the Diet:
Diet is perhaps one of the most popular and effective natural ways to conceive twins and also the most appropriate answer to how to have twins? Consuming a well-balanced diet sufficient for you as well as your baby (babies here!) is advisable. Plus, make sure you eat
a lot of dairy products like milk, yogurt and buttermilk.

Statistics prove that dairy products help multiple egg production by the ovaries ultimately increasing the chances of twins' birth. Likewise, consuming wild yams has been associated with the same and hence introducing cassava root becomes compulsory. Also
folic acid rich foods like leafy vegetables, cereals, grains, legumes, beans and the folic acid supplements help a great deal in conceiving twins naturally so increase your folic acid intake too.

Hereditary & Genetics:
Science has proven time and again that a woman is likely to give birth to twins if her parents and grand as well as great grandparents have had twins. This actually relates to the family genes wherein the hereditary factor coding for twins' birth is transferred from one generation to another. Sounds interesting, ain't it?

Some of the best ways to conceive twins naturally are by following the above simple ideas. How to conceive twins naturally or how to have twins naturally is something in God's hand, however, you can easily increase your chances. Even if you are not successful, a single baby would bring equal amount of joy and happiness in your life.

Take care and play safe!!
 
Back
Top Bottom