Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

farkhinah shukran sanaaa kwa somo hatimaye nimekuwa mtaalamu wa pishi la chapati tamuuuu lainiii, na zinachambuka kweli, ubarikiwe sana mamii uzidi kutupa maujuzi
 
Attachments

  • 1436089522608.jpg
    1436089522608.jpg
    42.3 KB · Views: 265
Last edited by a moderator:
farkhinah shukran sanaaa kwa somo hatimaye nimekuwa mtaalamu wa pishi la chapati tamuuuu lainiii, na zinachambuka kweli, ubarikiwe sana mamii uzidi kutupa maujuzi

Zinavutia haswaaaa
 
Last edited by a moderator:
Zinavutia haswaaaa

Yaani zilikuwa zinavutia hadi ladha, chapati zilikuwa zinanipa shida kidogo hivyo nilikuwa hata sijisumbui kuzipika, ila now daaah nafurahije, all the credit kwa farkhina maana through her nimejifunza vingi sana.
 
Ngoja na mie nizifanyie kazi Asante hii inatia moyo manake farkhina thanks a lot
 
Last edited by a moderator:
Kweli mapishi ni ubunifu tu lkn ubunifu huo unahitaji angalau ujuzi japo wa kushudia tu nn kinatendeka ktk uandaaji mzima bila hivyo changamoto ni kubwa zaidi
 
farkhinah shukran sanaaa kwa somo hatimaye nimekuwa mtaalamu wa pishi la chapati tamuuuu lainiii, na zinachambuka kweli, ubarikiwe sana mamii uzidi kutupa maujuzi

Karibu sana

Tubarikiwe sote inshaAllah
 
Last edited by a moderator:
Yummy yummy... umentamanisha kweli mum, wallah leo hazinipiti...

Yaani before zilinisumbua nikagomaga kupika chapati tena, till nilipokutana na somo la farkhina i decided to give it a try again, and now daaah hazinisumbui tena
 
Last edited by a moderator:
Yan navopenda kula vzur farkhina angekua jiran angu ngekua mgen wako daily,af samli ndo nn et?
 
Back
Top Bottom