Mbogo maji
Member
- May 31, 2015
- 14
- 8
Mimi nimejaribu kuzipika yaan ni lain kiasi ambacho ckuamn aisee dada farkhina Mungu akupe maisha marefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimejaribu kuzipika yaan ni lain kiasi ambacho ckuamn aisee dada farkhina Mungu akupe maisha marefu
Zinavutia haswaaaa
farkhinah shukran sanaaa kwa somo hatimaye nimekuwa mtaalamu wa pishi la chapati tamuuuu lainiii, na zinachambuka kweli, ubarikiwe sana mamii uzidi kutupa maujuzi
Ngoja na mie nizifanyie kazi Asante hii inatia moyo manake farkhina thanks a lot
farkhinah shukran sanaaa kwa somo hatimaye nimekuwa mtaalamu wa pishi la chapati tamuuuu lainiii, na zinachambuka kweli, ubarikiwe sana mamii uzidi kutupa maujuzi
Yummy yummy... umentamanisha kweli mum, wallah leo hazinipiti...
Yaani before zilinisumbua nikagomaga kupika chapati tena, till nilipokutana na somo la farkhina i decided to give it a try again, and now daaah hazinisumbui tena
Ndo naanza hivyo....
Ndo naanza hivyo....
hatimae nimeweza