Mashaallah,, Mm pia napenda kuutumia huo unga wa atta kuchanganya hata nikipika maandazi
Mie hata mikate ya ufuta nafanyia na inakua mitamu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashaallah,, Mm pia napenda kuutumia huo unga wa atta kuchanganya hata nikipika maandazi
Yaan mi chapati kupika jamani kwanini hazinitendei hakii,,,mfyyuuu kaeni na machapati yenuuu
farkhina,....jamani mbona zangu zimetoka hivi?!
Hauko mwenyewe mbona?!, yamenikuta ya kunikuta yaani hizi ilibidi nizivunje na kitu kizito.....I give up na chapati!
Kwanza naona umesukuma nene sana alafu umechoma moto mkali ndani hazijawiva kabisa,wewe unahisi kosa lako wapi? Umetumia vipimo kama hapo juu na kila hatua?
Jamani wewe ni mtaalam haswaa!, ni kweli hazikuiva ndani!, OK so tatizo nilisukuma nene sana, ni kweli kabisa hata moto niliweka mwingi sana nakumbuka ilibidi niwe natoa pan kwenye moto
farkhina,....jamani mbona zangu zimetoka hivi?!
hahaaha lol is not a laughing matter zililika kweli?
zilike wapi?!, nilitupa tu!, :A S angry:
Wewe mwana Ally,Hebu post hata picha ya Chapati hzo
Mimi ata kusukuma nashindwa aise
Hamjambo wapishi