Unga wa atta ndo wa ajee,,yaan mi kila nikitaka kupika chapati napata nawazo aiseee
Hivi farkhina na maandazi unaweza yakaanga kwa moto wa kawaida ili yaive ndan vizurii????
Moto wa kawaida ndio upi?....
Unga wa atta ni wa brown sawa na whole wheat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unga wa atta ndo wa ajee,,yaan mi kila nikitaka kupika chapati napata nawazo aiseee
Hivi farkhina na maandazi unaweza yakaanga kwa moto wa kawaida ili yaive ndan vizurii????
Moto wa kawaida ndio upi?....
Unga wa atta ni wa brown sawa na whole wheat
Bhebheee nang'oooo.
Moto yaan usiwe mkaliii,mfano kwenye gesi, ,mafuta yakichemka unapunguza moto
Humolaga shiii nang'oooo
Na ukitaka chapati taaaamu basi tumia unga wa azania
Jaan weka mautaalam na sisi tujikurupushe lol....umrithishe na mkwe wangu hayo...
Nimeonaaa unadhan macho yanaangalia tu chapati
Weee kiboko siku hizi nkipiga picha niwe makini sana yaani hata nyau wangu asitokeze usije kumuiba bure
Mmmmmh nitafsirie
Jamaniiii heheee utaweka ya habbity siwez muiba
Hahaha lol sawa
Yaan mi chapati kupika jamani kwanini hazinitendei hakii,,,mfyyuuu kaeni na machapati yenuuu
Skia kama hupendi hizi jaribu kupika kwa kutumia recipe ile alafu tumia mbinu ya maji ya uvuguvugu na mfuko wa plastic...
Hivi ulijaribu ya maji ya baridi?
Ngojaa ntajaribuu,,sijapika toka kipindi kile tena sijajaribu
Jaribu unga tu usiwe mimaji mengi alafu ukande hadi unga uwe lainii