mhemeavisogo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2014
- 343
- 195
Kazi ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo chapati za leo me ninyimeni tu....niko radhii...yani me chapati za unga wa atta hazipandi kabisaaaa......
Asante mama..... Yani nimejichokeaje?!
Nitajaribu badae sana..
Hizo chapati za leo me ninyimeni tu....niko radhii...yani me chapati za unga wa atta hazipandi kabisaaaa......
Hiyo atta mi ndo naisikia huku
Hahahah umewahi kuona unga wa ngano rangi ya brown?
Sijawahiii
Aaah bibi weee nawe mshamba sana ati lol
Sanaaaa nahisii kashamba namba mojaa heee heeee ntautafutaaa niuone
Ahsante sana dada yangu farkhina
Karibu sana huonekani kaka angu kwema lakini?
Nipo Dada yangu, majukumu tu. Sijambo kabisa, hujambo Dada yangu? Pamoja sana.
Mie mzima sana namshkuru mungu
Nafurahi kusikia hivyo, uzidi kubarikiwa Dada yangu na Jumapili njema.
Kwa wale ambayo mnatumia whole grains hii inawahusu...
Mahitaji
Unga wa ngano weupe nusu kilo
Unga wa atta nusu kilo...
Chumvi kiasi
Maji ya uvuguvugu....
Samli vijiko 6 vya kulia vijaze...
Extra virgin olive oil vijiko vitatu (waweza tumia mafuta yoyote)...
Namna ya kutaarisha...
Changanya unga na samli na mafuta pamoja na chumvi...
Weka maji ya uvuguvugu na ukande kama chapati za kawaida...
Ukimaliza kukanda weka unga wako katika mfuko mweupe na safi (wraps)....wacha kwa nusu saa
Zungusha chapati zako na uziache kdg...
Sukuma na kaanga kama chapati za kawaida....
Tayar kwa kuliwa...
Mmmh! Hapo ulipo bado ni Tanzania?