Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

Haukusema aina ya unga unaouchanganya, tuambie kama ni unga wa dona, sembe au ngano ili nianze mapishi muda huu
 
nashukuru sana kwa kumletea huu uzi manake uliexhost kila kitu.

ila kwa faida ya mtoa mada mapish kila siku huongezeka ufundi, na hapa nakupa dokezo tu ambalo nimeligundua kwenye upish wa chapati ni hili.

kandia mafuta ya moto hasa ukipata Kimbo, ama Kasuku yale ya mgando. pia tumia maji ya baridi wakati wa kukada. na kumbuka kukunja mistari midogo midogo ili upate layers wakati wa kupaka mafuta. na wakati wa kupika tumia moto mdogo sana usiwe mkali zikababuka. pia usukumapo basi sukuma kwa kuizungusha na izungushe kwa njia moja yaani toka ndani kwenda nje so ivutike kwa stail ambayo itachora duara lenye kontua toka ndani kwenda nje.
Asante sana kwa huu ufundi
 
Ha ha ha ha, mie nikipika zinasimama kama mfuniko wa sefuria

Nikimbambula nazo mtu anapata ngeu


dah! umenifanya nicheke sana halafu kuna neno sijalikisia siku nyingi " ngeu"
 
Back
Top Bottom