viazi
mviringo au? na unga ni upi?Hivyo viazi vinachemshwa kwanza au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mviringo au? na unga ni upi?Hivyo viazi vinachemshwa kwanza au?
Chapati iive tu, shape achia mamiss 😀
Maini roast au nyama ya kusagwa....besti hivi chapati zinapendezea na sosi gani kwa mlo wa mchana au jioni ukiachana na chai kushushia?
Maini roast au nyama ya kusagwa....
Ila maini ndo hatari zaidi
Waweza nipikia bibie?Hili pishi lina undugu na chips yai
Ukivikata vidogo vidogo sanaViazi vinaiva ndani ya dk 3??
Unifundishe kwa vitendo sasaUkivikata vidogo vidogo sana
UsijaliUnifundishe kwa vitendo sasa
Asante kwa somo zuri, japo bachelor ila ntajaribu
Asante sana kwa huu ufundinashukuru sana kwa kumletea huu uzi manake uliexhost kila kitu.
ila kwa faida ya mtoa mada mapish kila siku huongezeka ufundi, na hapa nakupa dokezo tu ambalo nimeligundua kwenye upish wa chapati ni hili.
kandia mafuta ya moto hasa ukipata Kimbo, ama Kasuku yale ya mgando. pia tumia maji ya baridi wakati wa kukada. na kumbuka kukunja mistari midogo midogo ili upate layers wakati wa kupaka mafuta. na wakati wa kupika tumia moto mdogo sana usiwe mkali zikababuka. pia usukumapo basi sukuma kwa kuizungusha na izungushe kwa njia moja yaani toka ndani kwenda nje so ivutike kwa stail ambayo itachora duara lenye kontua toka ndani kwenda nje.
Ha ha ha ha, mie nikipika zinasimama kama mfuniko wa sefuria
Nikimbambula nazo mtu anapata ngeu