Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

Yani kama zile chapati za kipindi cha Yesu

Mrs Van
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nimecheka sana mrs van
 
wapo wanaotia hamira kwenye chapati
ngoja na mm nitajarbu kutia hamira nione zitakuwajee
Mmh huko ni kutafuta shibe ya muda mrefu kujaza tumbo usisahau kuleta mrejesho shoga
 
Hapa yamekosekana maharage tu



mh mbn hazina mvuto?siri ya chapati kuwa nzuri ni ukandaji!naona mtoa madakasema unga uwe mwepesi kwahyo unamanisha uwe mlaini!duh!mie najua chapat ukitaka iwe nlain kanda unga uwe mgumu utazipenda!
 
Shoga afadhali hiy lkn huwez kuilinganisha na hii kwa kweli viwil vyachagulika hebu angalia hii sasa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]




teh teh borA Nikaange mihogo!namshukru MAMA!
 
Aisee hii chapati haivutii kabisa sidhan kam imeivaa hii



Mie usiniletee kitu km huiki aic!nahis ni ule unga wa ATTA!haujalainika kwanza!mie chapati huwa akanda km dk 20 mbele!ila uwe mgumu utazifurahia aic
 
Sawa sasa zinaenda na supu, tufundishe kupika supu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…