Honestgirl
JF-Expert Member
- Jun 9, 2018
- 210
- 126
Nilishawah tengenezaDoh,.sekta zangu hizi...naweza kukusaidia kukuelekeza na ukafurahia chapatti zako,.labda nikuulize ulishawahi tengeneza kabla,au ndio unataka kujifunza????
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazma kureply unaona huna cha kujibu pita kushotoWewe hata mchicha utakuwa huwezi pika, wakisha kuelekeza namna yakupika chapati waombe wakufundishe namna yakupika mchicha pia, ...
Sio lazma kureply unaona huna cha kujibu pita kushotoWewe hata mchicha utakuwa huwezi pika, wakisha kuelekeza namna yakupika chapati waombe wakufundishe namna yakupika mchicha pia, ...
Hahahahaha ndo ivo kitu kama hujuw uliza uelekezwe make huwez jua vote dunianiBora wewe umeomba msaada. Kuna akina mama hapa mtaani hawajui kabisa kuzipika. Ukinunua ule muda huohuo ukikaa robo SAA tu zishakuwa jiwe
Ilo tu ucjalntakuungisha lakini ya nyongeza ya kuonja lzma iwepo
Tulia upate ukweli, ujifunze zaidi
Ww kama unajua n ww na naamin na ww kuna vitu huvijui but hutak onekana uvijuw unagangamala ivoivoKuna mambo yakuonewa huruma, ila sio kwa chapati
So ww kaa kimya una unacho niongezea kweny ufahamu wangu acha weny michango positive wachangieKuna mambo yakuonewa huruma, ila sio kwa chapati
Achana nae huyu hajielew na c kwamba cjuw tengeneza chapati but nikitengeneza hazikai fresh ndo maana nikauliza kweny uzi ucka ili nirekebishwe pale napo kosea na kweny maisha tunajifunza kila siku mpaka siku tunazima pumzi sasa kama yy n much know aendeleeduuh we jamaa hauna huruma
Ndio m napenda kujifunza zaidi na c ww unanifundisha ww kaa na umuch know wako but najua kuna vingi huvijuw pia kwaiyo uwe unachagua maneno ya kuandikaTulia upate ukweli, ujifunze zaidi
Acha kupanic weweNdio m napenda kujifunza zaidi na c ww unanifundisha ww kaa na umuch know wako but najua kuna vingi huvijuw pia kwaiyo uwe unachagua maneno ya kuandika
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm cjapanic ila nakueleza kwamba uwe unashirikisha ubongo kabla hujajibu make nashangaa mm nimeuliza chapati ww unasema habari za mchicha kwan umeambiwa lazma ucomment au unatafuta kikiAcha kupanic wewe
Yan hapo kiki hupat ila unajionesha ulivokuwa na uwezo mdogo wa kufikir na kukurupuka kujib bila kufikir kiusahihiAcha kupanic wewe
Utatumia kila aina ya maneno yakipuuzi kutaka kujionyesha ulivyo lakini ujumbe umesha upata,Yan hapo kiki hupat ila unajionesha ulivokuwa na uwezo mdogo wa kufikir na kukurupuka kujib bila kufikir kiusahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujumbe upi?Utatumia kila aina ya maneno yakipuuzi kutaka kujionyesha ulivyo lakini ujumbe umesha upata,
Yan nakushangaa ww unaependa kuwakatisha watu tamaa wangari wanataka kujifunza embu kaa kimya ww mm kujifunza Kwang mm hakukuhusu kabsa n mm na lyf Lang sitak majibizano na ww make nothing to gain from your threadsUjumbe upi?
Basi tena !!!Ujumbe upi?
za kununua lazima ziwe transparent kwasababu ya kukwepa gharama ,ukitaka chapati nzuri ni tsh 1000 au upikiwe nyumbani na unga wa azam wa ppf bei yake ipo juu kidogo kuliko huu wa kawaida tofauti ya bei ni 400 ,na vitu vingine labda nazi au butter au gheeKumbe mnatufanyiaga makusudi kutuuzia chapati transparent ukiangalia unaona upande mwingine? [emoji37] [emoji37]
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa iyo bei itakubidi upike za kawaida za chumvi na mafuta ya alizeti na pia chapati huwezi jua kwa siku moja kadiri utakavyokuwa unapika ndiyo utajua vizuri ,tips kidogo jitahidi ukande unga mlaini haswaaa na ufukine uache kwa dk 15 au zaidi ndo usukume awamu ya kwanza ya kupaka mafuta baada ya apo ufunike tena kwa dk kadhaa ndo uanze kusukuma na kuchoma chapati zako ,iyo ndo siri ya chapati laini
Ok sawa asante sana nimekupatakwa iyo bei itakubidi upike za kawaida za chumvi na mafuta ya alizeti na pia chapati huwezi jua kwa siku moja kadiri utakavyokuwa unapika ndiyo utajua vizuri ,tips kidogo jitahidi ukande unga mlaini haswaaa na ufukine uache kwa dk 15 au zaidi ndo usukume awamu ya kwanza ya kupaka mafuta baada ya apo ufunike tena kwa dk kadhaa ndo uanze kusukuma na kuchoma chapati zako ,iyo ndo siri ya chapati laini