Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

Ujumbe upi?
Yan nakushangaa ww unaependa kuwakatisha watu tamaa wangari wanataka kujifunza embu kaa kimya ww mm kujifunza Kwang mm hakukuhusu kabsa n mm na lyf Lang sitak majibizano na ww make nothing to gain from your threads
 
Kumbe mnatufanyiaga makusudi kutuuzia chapati transparent ukiangalia unaona upande mwingine? [emoji37] [emoji37]

Sent using Jamii Forums mobile app
za kununua lazima ziwe transparent kwasababu ya kukwepa gharama ,ukitaka chapati nzuri ni tsh 1000 au upikiwe nyumbani na unga wa azam wa ppf bei yake ipo juu kidogo kuliko huu wa kawaida tofauti ya bei ni 400 ,na vitu vingine labda nazi au butter au ghee
 
Ni za kuuza na bei ya kuuza n sh.300

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa iyo bei itakubidi upike za kawaida za chumvi na mafuta ya alizeti na pia chapati huwezi jua kwa siku moja kadiri utakavyokuwa unapika ndiyo utajua vizuri ,tips kidogo jitahidi ukande unga mlaini haswaaa na ufukine uache kwa dk 15 au zaidi ndo usukume awamu ya kwanza ya kupaka mafuta baada ya apo ufunike tena kwa dk kadhaa ndo uanze kusukuma na kuchoma chapati zako ,iyo ndo siri ya chapati laini
 
Ok sawa asante sana nimekupata
 
Back
Top Bottom