Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Katika vitu ambavyo siwezi kupika mpaka leo ni chapati na katika vitu vinavyonishinda kula ni samli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika vitu ambavyo siwezi kupika mpaka leo ni chapati na katika vitu vinavyonishinda kula ni samli
Asante sana
Na uzee wote huo?lol
Yani my dia sijui nini tatizo yani kila nikijitahidi nashindwa kabisaaa
Wakati unakaanga usiaubir chini iwive ndio ugeuze chapati inakua ngumu....subir iwive kidogo tu alafu geuza then weka mafuta kaanga utaona chapati yako yafanya kuumuka na kuja juu hapo ndio inawiva hadi ndani....
BAK Mrs Kharusy amu King'asti na wengine
Vipi ukiweka sukari kidogo? Napenda ladha ya chumvi na sukari ikichanganywa.
Pia kuna mtu aliniambia sukari inaipa chapati rangi ya gold, ni kweli?
Kongosho you are not alone, ila mimi sijui what went wrong; maana zamani nilikuwa mpika chapati mzuri tu (chezea kuwa housegirl wa dada likizo ya mwinyi), lkn sasa holaa.
naombeni kujua
Hivi samli ni mafuta ya ng'ombe?na ndio yanatakiwa kuwekwa kwenye chapati?
Ndio hayo, ila kama unatumia mengine uweke ya baridi, ukiweka ya moto kama mie, chapati zinadansi mdomoni.
Fuata ushauri wangu at your own risk.
asante fakrina chapati kwa mchuzi tamu mno!
Asante sana, hili la maji ya baridi sikufaham kabisa.
Hv kweli samli ni nini
The king.
Ndio hayo, ila kama unatumia mengine uweke ya baridi, ukiweka ya moto kama mie, chapati zinadansi mdomoni.
Fuata ushauri wangu at your own risk.