Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,709
Hongera sana
Somo utaaniua na hii mijichapati, yani hapa ndo nimemalza kuchoma, nizipige niende kibaruani....naziwezeaje!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana
Yan navopenda kula vzur farkhina angekua jiran angu ngekua mgen wako daily,af samli ndo nn et?
Somo utaaniua na hii mijichapati, yani hapa ndo nimemalza kuchoma, nizipige niende kibaruani....naziwezeaje!!!
Hongera sana mwari
Asantee.. .
Hodi tena wapishi wenzangu
Eti katika upishi wa chapati unga unaofaa ni unga wa ppf??
Habari zenu wapendwa,..
Mimi mwenzenu nko hapa kuomba ushaur, nifanyaje niweze kusukuma chapati itoke ya duara, isiyo na pembe pembe?!
usipokanda vizuri, unga wako sio mzuri na ubaridi ukizidi kwenye unga ukiwa unakanda. Ngano inaumuka kwenye joto bila kutiwa habira hii muhimu sana. unga upewe nafasi ya kuumukathanks kwa somo..
kitu gani kinafanya chapati kuwa ngumu?