Unaweza kupika nugget za nyama ? 🥱Pia ukipenda viungo vingine ni
Kotmil/swaumu/tangawiz
Limao au (viniger)
Soy sauce
Ajina moto
Chumvi
Half american
Vyote ni sawa kulingana na mapenz ya mtu hii hapa hata nyama iwe ngumu km jiwe inalainika😀
Manjano ndio nini ?Nilikuwa busy sana Leo pole
Ngoja nikuelekeze mpendwa sasahivi
Tuanze na kuchoma mishkaki
Mahitaji(Mimi Huwa sipendi viungo vingi)
Nyama steki,chumvi,kitunguu swaumu,tangawizi,manjano,limao na mafuta kijiko kimoja Cha chakula
Kata nyama Yako weka kwenye bakuli hakikisha Haina maji
Chukua bakuli nyingine weka kitunguu swaumu ulichosaga na tangawiz weka chumvi limao manjano na mafuta koroga Kisha mimina mchanganyiko wako kwenye nyama Changanya Kisha funika Kwa muda kidogo kuanzia Lisaa na kuendelea Kisha weka nyama kwenye vijiti Anza kuchoma mishkaki Hadi itakapoiva
Hayo marangi ndio siyapendelei kabisa. Na hivi viungo ni kwa nyama zote au?Binzari inaitwa kwaajili ya rangi Inakuwa ya njani hiv ila km ukitumia soy sauce Haina haja ya binzari soy sauce zipo madukani,supermarket
Shukrani sana barikiwa nitajaribuAchana nayo ndio Kwa nyama zote ila kama nyama ni laini usitumie ajina moto,tumia tangawiz na saumu na limao inatosha
Pika Basi uni letee, Huku makaburini🤓Hongera kipenzi zinatamanisha
Sorry siwezi mletea maiti au mfu.Pika Basi uni letee, Huku makaburini🤓
Makaburini SI mtaa jamani🤓, hupajui??Sorry siwezi mletea maiti au mfu.
Ni wapi huko MakaburiniMakaburini SI mtaa jamani🤓, hupajui??
Si kule kinondoni 😁Ni wapi huko Makaburini
Sikujui hukoSi kule kinondoni 😁
Kuna mtaa upo Pana itwa kinondoni makaburini.Sikujui huko
Baada ya kukopa dar umeikimbia lipa deni 🐒Kuna mtaa upo Pana itwa kinondoni makaburini.
Though sipo huko daslam 🤓😁