Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Nimewaiwa na CountrywideKumbe bado acha nikutaftie kijana, nina kijana wangu mstaarabu mpole ,hana makuu ana kila sifa mrefu kidogo ila hana hela ebu mfikirie , katika orodha mwandike alafu unipe jibu kwa kuninong'oneza
Afu hapo “hana hela” ndio umeharibu kabisaaa 🤣🤣🤣🤣😂