Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Hhhhhh..... unamwoa anakuta mpk sufuria za plastic sijui, microwave, oven,Tatizo la mwanamke ukijua kupika kumzidi anaanza kisirani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhhhhh..... unamwoa anakuta mpk sufuria za plastic sijui, microwave, oven,Tatizo la mwanamke ukijua kupika kumzidi anaanza kisirani
Japo sijaoa lkn akifanya hvo ajiandae tu kuondoka namtafutia kosa dogo tu namwambia hata mbona ukideki haukaushi dekio vzr🤣🤣au kwann unaminya dawa ya meno kwa Huku kichwan 🤣Hahaha, hii umeiweka kiutana ila ndio uhalisia wenyewe. Utakuta mwanzoni kila pishi linazingatiwa haswa ila mkizoeana sasa, hakuna kuunga tena, mafuta yanawekwa juu ya mboga vitunguu na nyanya kwa juu halafu ngoma inafunikwa.
Dawa yake ni kupita sehemu kabla haujarudi home.😂
Mbn Kuna familia baba ni caterer mama ni hotelier, ishu ni kuelekezana km hujui tulia ufundshwe[emoji16]Sasa unanizidi kupika Jamani si ni aibu [emoji3][emoji3]
Ipo siku mtaambiwa "sijisikii kula chapati leo" kumbe li shape limemkinaisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatareee mtuvumilie tu
[emoji16][emoji16][emoji119]Japo sijaoa lkn akifanya hvo ajiandae tu kuondoka namtafutia kosa dogo tu namwambia hata mbona ukideki haukaushi dekio vzr[emoji1787][emoji1787]au kwann unaminya dawa ya meno kwa Huku kichwan [emoji1787]
😁😁😁mbn umewaza kwenye ubingwa tuKwamba mwamba ubingwa umetwaliwa
😂😂😂saivi nimeacha kupika kabisa baada ya kuachika kisa kupika. kuna siku nilifikia ugenini nililetewa ugali sura haiendani na nilichopikiwaSasa unanizidi kupika Jamani si ni aibu 😀😀
Sasa unanizidi kupika Jamani si ni aibu 😀😀
Na siku ukitaka kupika inabidi umtafte uanze ivi ulisema tunachangia ya vitunguu saumu vingapi😂 shida ya wanafunzi hawasomi notes😂😂😂 ulijuaje wii? Pishi la ndizi sijamaliza kufanya, leo umeibuka na chapati za maji!!
Ila zinaonekana tamu 😋😋
😀😀😀Hatari sana mm nashukuru Mungu wakija rafikizangu au wageni hata nijikaushe utasikia kwani Leo hupiki Cha ajabu hata Sina Cha maana nachopika vyakula vya kawaida tu😀😀😂😂😂saivi nimeacha kupika kabisa baada ya kuachika kisa kupika. kuna siku nilifikia ugenini nililetewa ugali sura haiendani na nilichopikiwa
Hio lazima aseeh.... Mtoto wa kike ujue kushika mwiko bhn.... Msosi usave kitu delicious[emoji3]Lakin siku za mwanzo aibu lazima labda ukizoea unaweza jiona umepika kumbe wenzako wanakuchora tu[emoji23][emoji23]
😂😂wanaume tunapenda chakula kizuri tulio pitia veta tunakazi kwakweli😂😂Hata mm sitaki
Nina nduguyangu nimemfunika chapat za kusukuma,maandaz na pilau labda llkn vingine ni balaa mwanaume yule anapika had wali Nazi kha 😂😂
Sikuhiz kaoa mkewe anapika Kwa waiwasi 😀😀😀
Kabla ya kuoa mwanamke lazima anioneshe cheti mafunzo ya mapishi😀😀😀Hatari sana mm nashukuru Mungu wakija rafikizangu au wageni hata nijikaushe utasikia kwani Leo hupiki Cha ajabu hata Sina Cha maana nachopika vyakula vya kawaida tu😀😀
😂😂😂 atajua hajuiIpo siku mtaambiwa "sijisikii kula chapati leo" kumbe li shape limemkinaisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]