Jinsi ya kupika chapati za maji ambazo hazina viungo vingi

Jinsi ya kupika chapati za maji ambazo hazina viungo vingi

Hahaha, hii umeiweka kiutana ila ndio uhalisia wenyewe. Utakuta mwanzoni kila pishi linazingatiwa haswa ila mkizoeana sasa, hakuna kuunga tena, mafuta yanawekwa juu ya mboga vitunguu na nyanya kwa juu halafu ngoma inafunikwa.

Dawa yake ni kupita sehemu kabla haujarudi home.😂
Japo sijaoa lkn akifanya hvo ajiandae tu kuondoka namtafutia kosa dogo tu namwambia hata mbona ukideki haukaushi dekio vzr🤣🤣au kwann unaminya dawa ya meno kwa Huku kichwan 🤣
 
Japo sijaoa lkn akifanya hvo ajiandae tu kuondoka namtafutia kosa dogo tu namwambia hata mbona ukideki haukaushi dekio vzr[emoji1787][emoji1787]au kwann unaminya dawa ya meno kwa Huku kichwan [emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji119]
 
Mbn Kuna familia baba ni caterer mama ni hotelier, ishu ni kuelekezana km hujui tulia ufundshwe[emoji16]
😀Lakin siku za mwanzo aibu lazima labda ukizoea unaweza jiona umepika kumbe wenzako wanakuchora tu😂😂
 
Sasa unanizidi kupika Jamani si ni aibu 😀😀
😂😂😂saivi nimeacha kupika kabisa baada ya kuachika kisa kupika. kuna siku nilifikia ugenini nililetewa ugali sura haiendani na nilichopikiwa
 
😂😂😂 ulijuaje wii? Pishi la ndizi sijamaliza kufanya, leo umeibuka na chapati za maji!!
Ila zinaonekana tamu 😋😋
Na siku ukitaka kupika inabidi umtafte uanze ivi ulisema tunachangia ya vitunguu saumu vingapi😂 shida ya wanafunzi hawasomi notes
 
😂😂😂saivi nimeacha kupika kabisa baada ya kuachika kisa kupika. kuna siku nilifikia ugenini nililetewa ugali sura haiendani na nilichopikiwa
😀😀😀Hatari sana mm nashukuru Mungu wakija rafikizangu au wageni hata nijikaushe utasikia kwani Leo hupiki Cha ajabu hata Sina Cha maana nachopika vyakula vya kawaida tu😀😀
 
😂😂Hata mm sitaki
Nina nduguyangu nimemfunika chapat za kusukuma,maandaz na pilau labda llkn vingine ni balaa mwanaume yule anapika had wali Nazi kha 😂😂
Sikuhiz kaoa mkewe anapika Kwa waiwasi 😀😀😀
😂😂wanaume tunapenda chakula kizuri tulio pitia veta tunakazi kwakweli
 
😀😀😀Hatari sana mm nashukuru Mungu wakija rafikizangu au wageni hata nijikaushe utasikia kwani Leo hupiki Cha ajabu hata Sina Cha maana nachopika vyakula vya kawaida tu😀😀
Kabla ya kuoa mwanamke lazima anioneshe cheti mafunzo ya mapishi
 
Back
Top Bottom