Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
๐๐๐๐Eeee Mungu, hapa ndo utaujua waraka wa hamani uliowafanya wana wa Israel wakashindwa kula na kunywa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐Eeee Mungu, hapa ndo utaujua waraka wa hamani uliowafanya wana wa Israel wakashindwa kula na kunywa
Ni tabu sana Nina kakaangu anajua kupika sana mkewe Kuna mda Hana Raha kabisa maana kupika Kuna vitu Bado hajajua vizuri alafu bro anapendaKuna siku nilikua likizo nikaenda Kwa mzazi, Asubuh nikawaambia ngoja niwatolee kitu chapati maji.. nika wamix na vitunguu pale , Kitu kimetoka mkao mafuta kwa mbalii, Wakasema kumbe Ndo maana Imma hauoi.
Et kwan kuna mahusiano gani mi kupika hvyo na kutokuoa wakuu
๐ค๐ค๐คHujagugo picha kwel?Karibu sana lakin nilipika mara mbili tu
Ya kwanza ni hii nafikir sikutoa Boko ๐
Namkaanga kweli akikaa vibaya ๐คฃ๐คฃ๐คฃ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu niwachee emu kwani.
Usinambieee
Nilitaka kuuliza hiyo pan ina shape ya ramani ya Afrika auNa sisi tutawapikia chatapi km ramani ya Africa mpk mkome [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
๐คฃ๐คฃ๐คฃ hatareee mtuvumilie tuNilitaka kuuliza hiyo pan ina shape ya ramani ya Afrika au
Hongera dada from kizimkazeHahha hapana nimepika
Kwamba mwamba ubingwa umetwaliwaSkia Imma nikupange! Kuna vyakula tukiona unajua kuvipika vzr tunaanza kupata wasi wasi na ww
Nina last born wangu ana miaka 45 anatafuta Mchumba, kama utaridhia kuolewa naye nitakuunganisha naye ๐คชEt veta ๐
Babu hauna mjukuu wako kijana mzuri mzuri huko nishachoka kuwa single๐
Chakula kingine mambo automatiki ๐๐yakujaga yenyewe nipe hata huyo wa 45 nikamlee akipata kisukari ๐๐Nina last born wangu ana miaka 45 anatafuta Mchumba, kama utaridhia kuolewa naye nitakuunganisha naye ๐คช
Nimeshawahi kuona binti ameolewa hata kuchemsha Chai hajui sembuse kupika Chakula chochote๐
Kama chakula hajui kupika sina hakika kama kile Chakula kingine kama anajua hata kukiandaa ๐๐๐๐
Hahahaha...............eti automatic ๐Chakula kingine mambo automatiki ๐๐yakujaga yenyewe nipe hata huyo wa 45 nikamlee akipata kisukari ๐๐
Fanya hivo Babu maana watoto wanachelewa shule ๐๐Hahahaha...............eti automatic ๐
Wengine wameweka standards, kama hunyumbuliki na ndoa hupati ๐
Ngoja nitakuunganisha naye Mjukuu, Babu yako nimemisi kula Pilau la sherehe
Kwa kweli bora umzalie mapema ili akifika miaka 60 walau first born wake awe na miaka 14 ๐๐๐๐Fanya hivo Babu maana watoto wanachelewa shule ๐๐
Chapat nazipenda, znafata ndizi, pilau, na ugalii alooh..... [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] ulijuaje wii? Pishi la ndizi sijamaliza kufanya, leo umeibuka na chapati za maji!!
Ila zinaonekana tamu [emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan sahivi ndo nimezidi kubangukaaa, juzi nilimtumia text mtu had anasema ulichobakiza ni kuokota makopoo na kutembea uchi.Hivi hivi hutoboi Kuna mtu ana akili km zako kanitumia sms juzi nimecheka balaa[emoji23][emoji23]nikakukumbuka[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]