Jinsi ya kupika maandazi matamu ya maziwa na hiriki

Mbona recategorization πŸ˜‚πŸ˜‚
Tupe mifano hai mambo ya ushahid ushawahi Pata mwanamke wa pwani
 
Mamdogo Auntie hongera mahamri yavutia.

Unakaa kimya sana, usiwe unatuacha acha na sisi wakubwa zako ambao hatujui kukaangiza kama hivi, usitake tuachike!!
Hawa viumbe hata upike Nini hawatosheki πŸ˜€πŸ˜€utaachwa sabbu ulichelewa sokoni

Tupike tule tujenge mwili dada nitakuwa najitahidi kipenzi
 
Hawa viumbe hata upike Nini hawatosheki πŸ˜€πŸ˜€utaachwa sabbu ulichelewa sokoni

Tupike tule tujenge mwili dada nitakuwa najitahidi kipenzi
Saa nyingine hua naona kama kupika kitu kikawa kitamu inategemea na mkono wa mtu. Kuna mwingine anaweza kufuata maelekezo yote kama yalivyo na ukashangaa hayawi matam. 😐
 
Siwezi kulala moja kwa moja lazima nipate mchachuo wa kuchangamsha damu. Mtoto wa mama mkwe apate kiu ya maji
Kwan watu wakioana ndio hufanya kilasiku?
Nilimsikia rafikyngu na wew naona hapa pia hebu mniambie kwanzaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…