Hivi kw nn ukila hushibi makande bila blue band na sukari aisee nipe chai na maharage nilale.Hujapata yaliyopikwa yakapikika Mkuu. Kila siku utatamani ule.
Mi yanachonikera ni kupata njaa muda mfupi baada ya kujiona nimeshiba mbaya.
Hahahaahah aiseee kabichi sili bora nile ugali na sukariHahaaaaa bora makandeeee
Kebichi ni funga kaziiii....
Half kuna watu wanasemaa
oooooh hujakutana na lililopikwa vizuriiiii
lile dude tunakula kuokoa roho tuuuu...
kwenye ndizi hapo daaah,Nawashangaa watu mnaosifia makande asee. Zingine ni ndizi. Pika ujuavyo sitakula
nikifumaniaga comment zako napasuka sana kwa kucheka we kiumbe.hahaaaaaaa kebich hili hili?
Au ni yale ya kizungu....?
Mzigua90, hembu acha utanii.......
Halaf hata hoho silielewag elewag kbsaa
kwaio we ushwahi kula kebich tamu?
Achana na kulitaftia chakula kizuri ndio lipendezee...
Umeshushiwa hapo kebich na dona utakulaaa......,
hahahaa alooo Hata ubishe HULIIII
Lile dude bora ulile bichi...
Hhahahaa nyie watu mnanichekesha sasa siku nzima ni kutafuna tuMimi ni mmoja wapo nikila kande sishibi huwa napika nyingi Yaani siku hiyo inakuwa ni kula tu.
Yes best ndio maana kande zinapikwa nyingi Yaani kile chakula kina radha ya kipekeeππHhahahaa nyie watu mnanichekesha sasa siku nzima ni kutafuna tu
Yaani hiki chakula tuseme tu jamani, tulio wengi tunakilia shida.
Halafu dada/mama zetu, hivi mkipika, ni lazima mpike mengi? Yaani tuyale mchana, tuyale jioni na kesho tuyanywee chai duuh
Vipi umeivisha?Hata mimi nimeshangaa mkuu [emoji1][emoji1]
Kesho sio leo kitu harage na mahindi.Vipi umeivisha?
haya madude hayana ufundiHujakutana na makande yalopikwa ni fundi
Kwa hiyo hao ji familia mojaMakande cha mtoto. Kuna kitu inaitwa viazi vitamu na mjombake mbaazi
Mkuu ntake radhi...nawaheshimu wazazi wangu,lakini naheshimu wazazi wote,zaidi watu wote...wakati mwingine kukaa kimya ni busara piaMkuu kupikiwa makande nyumbani tu unaleta uzi je ikija kutokea wazazi kufululiza kubanduana kila siku si ndo utaweka hadharani nyeti zao humu!
Hawa ni wale watoto wanaoweza kuwauza wazazi wao kwa maadui bila kujua kwa kuona tamu ya pipi
Bora Mara mia kebichi kuliko Maharage. Mbaya zaidi uyale kwa ugali wa mtama kwa lugha rahisi tunaita suti Yaani ni tatizo kuanzia mezani mpaka maliwatoni! πkebich halijawah kua zurii, hata kwenye kachumbari tunazugaa tuuuu....
Sasa usiombee upige ugali na kebich tuuuu....
Alooo tonge linaenda km linarudi...
Yaani unahisi kbsa tonge linataka kurudi ila ww unasukumizaa tuu,
kwanza hata mate hayatokii nayo yanagomaaa.....
Mi nahisi hata Likifika tumboni hata minyoo wanalikaushia lipite