Jinsi ya kupika makande

Ndizi toka utotoni sili asee. Bora ndizi kuliko viazi mviringo daah hayo madude yanaharafu mbayaa
Mimi japo kwetu ndizi ndio chakula kikubwa, ila sijawah penda yale madude labda sbb sikuish kule,
na sehem niliyoish viazi mviringo vilikua vinalimwa sana,
ila navyo ni jau havipandi kbsa,

yaani mara mia kande kuliko haya mavitu,

tukizungumzia mapish mazuri, basi viazi mviringo nishakutana navyo vilivyopikwa vizuri, nakula swaf kbsa,

ila ndizi sijawah zipenda hata kwa pish la namna gani, zaid ya kuokoteza nyama, tena kama zimechanganywa na viazi bora niokoteze viazi,
au zile ndizi zinapikwa zikiwa zimeiva iva hv hapo sawa,

binafsi mm kande sina kesi nazo sana, napitaga nazo, inshu ipo kwenye
kebich, ugali wa mhogo, ndizi na viaz mviringo

halaf haya mambo sio kutishiana eti unachagua chakula,
hapana, huwezi kua multpurpose unakula/unapenda kila kitu kama nguruwe,
ukiwa hvyo nawe sio mzima,
huo ni uroho,

haiwezekani kila kitu kwako ni lulu, labda kama unakiwanda cha gongo au dampo lako tumboni,
na watu kama hawa ndio wachafuzi wa kubwa wa hewa.
 
[emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] jamaa comments zako uwa zinanibariki sana
 
Makande ni chakula gani? kinapikwa kwa kutumia ingredients zipi? naomba kufahamishwa pls.
Mchanganyiko wa mahindi wengine hutumia mabichi wengine makavu..na maharage mabichi au makavu.. wengine huweka na karanga mbichi.. unaweka na Nazi ..vitunguu na vicarrot kuongeza udambwidambwi.
 
Mchanganyiko wa mahindi wengine hutumia mabichi wengine makavu..na maharage mabichi au makavu.. wengine huweka na karanga mbichi.. unaweka na Nazi ..vitunguu na vicarrot kuongeza udambwidambwi.
Asante sana atleast nimepata idea.
 
Kaanga vitunguu, vikianza kuwa brown
sasa rafiki unakaanga vitunguu mpaka brown! si unakula makapi? vitungu vina kazi njema mwilini! habari ya kuviunguza m[aka brown ladha sawa lakini makapi!
 
Nyumbani kwetu hatukuwa hi kupika makande, nilikulaga boarding tu na sikumbuki last time kuyala lini.
Hata nikikukita unakula siwezi kukudoea [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna chakula nachokulaga kwa manun'guniko Kama kande.
 
Siwezi pika kabichi wala makande aiseee.
Kabichi naikutaga kwenye chips tu.
By the way nimekumiss[emoji12][emoji12][emoji12]
 
Ninavyoyapenda makande nikila huwa nachelewa kushiba na nikishiba dakika 10 njaa tena umenikumbusha kesho napika.
Na mimi kama wewe vile, huwa nakula mpaka najishangaa halafu muda kidogo tuu njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…