Jinsi ya kupika makande

Hahahahaaa, makande bana kama CHADEMA yanachukiwa tu bila sababu.
Kwangu home yanapikwa kama chakula cha adhabu siku watoto wakimwaga/kuringa chakula kizuri, basi watanuna vibaya na muda wa kula kila mmoja amenuna na ameshiba, kiukweli huwa wanalala njaa siwabembelezi.
 
[emoji3] [emoji3] , kabeji siyo kabisa, afu linasave cost hiloo nusu yake mnakula siku 2 aisee, nilikua nakasirika home mama sometimes anachanganya na nyama duh, nilikua naona anaharibu mboga nyama, nilikua nadonoa vinyama nyama naishia zanguu[emoji30]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…