Jinsi ya kupika ndizi mzuzu mbivu za nazi

Hii ni taarifa mhimu kwangu.mimi nazipenda hizi ndizi.Nilikuwa nachemsha tuu na maji na chumvi basi.haoa nimepata pishi lingine.Asante kwa elimu
 
wengi wenu hili pishi litawatoa ushamba ila ni moja ya pishi tamu!..
Kabisa Yani ni toka enzi wapishi maarufu wote hupika na kufundisha sana hili pishi mm siku ya kwanza sikuelewa kabisa lakn now nakula
 
Hii ni taarifa mhimu kwangu.mimi nazipenda hizi ndizi.Nilikuwa nachemsha tuu na maji na chumvi basi.haoa nimepata pishi lingine.Asante kwa elimu
Karibu sana utuleteee mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…