Jinsi ya kupika ndizi mzuzu mbivu za nazi

Mh, nje ya mada wewe dada unaonekana...............hakuna mwanamke anayejua mapishi halafu asijue...............huo ubunifu unaouona kwenye mapishi upo mpaka kwenye.............
Hapana mkuu ila Dah 😀😀
 
😀😀Njoo ujifunze kula vyakula tofaut
Ni chakula kinachopikwa sana na kinapendwa hasa pwani
Usipende wali maharage Kila siku😀😀
Hua naogopa Sana kula chakula ambacho sijakizoea, Kuna mtu alinambia yy fundi wa mapishi kajisifia kinoma nkamualika anipikie wali samaki... nkamwachia kibunda mi nikaenda kucheki game, eeee bn weeee 😂😂😂 nashukuru Mungu mpaka saiv naendelea kula samaki almanusura iwe mwisho
 
Kilikuwaje🤣🤣
 
Huwa napenda kujaribu vitu vipya kilawakati ila nachofanya napika chakula kipya nikiwa kama najifunza sifanyi kuwa ni special kwa walaji hata kma nipo pekeyangu ili ikitokea nimetoa Boko Huwa nakuwa na mbadala

Mfano niliwah weka kiungo flani kwenye mboga sikukadiria ikabadili labda ya mchuz kabisa sikupenda
So nakuwa makini sana
 
Natumaini mkopoa
Wapenz wa ndizi ,Ndizi mzuzu zikiiva msitupe
Leo nimewaletea recipe hii ya kupika ndizi mzuzu zilizoiva za Nazi

MAHITAJI
Naz
Ndiz zilizoiva
Iriki iliyosagwa ama nzima
Sukari kama hupendi tumia chumvi

Hatua ya kwanza
Menya ndizi kata vipande vinne
Kama unatumia Nazi ya kawaida chuja tui la kwanza zito (bubu)na tui la pili weka pekeyake
Kama unatumia ya pakti bas andaa Nazi Yako weka maji kidogo kwakuwa huwa nzito sana

Hatua ya pili
Bandika sufuria ama pan weka ndiz zako Kisha weka tui la Nazi
La pili lile jepes kama unatumia Nazi ya pakti weka maji(maji yasiwe mengi)Kisha weka iriki funika acha ichemke had maji yakikauka

Hatua ya Tatu
Maji yakikauka weka sukari kma hupendi weka chumvi Kisha mimina tui la lile zito tikisa sufuria taratibu had vichanganyike usikoroge koroge na mwiko vitapondeka acha vichemke Kwa dakika 5 zitakuwa tayari View attachment 3099784View attachment 3099785View attachment 3099786
Ndizi ikikosa nyama si ni mihogo tu mkuu!
 
Kilikuwaje🤣🤣
Mi nishazoea samaki wa kukaanga yy akanunua wale wabichi kipande kikubwa akakipika hivo hivo....wali ulikua mzuri mchuzi upo vizuri sema Sasa nlikuwa nikichukua mnofu hv Ile ngozi ya samaki inabaki ni kama inajitenga hv....baadae akauliza samaki wabichi watamu eeee😂 nlikuwa wa nimechukuaa wali niweke mdomoni niliufinyanga kimtindo nikautupa kwenye vyombo bila yy kuona, nliokuwa nataka niumeze umekwama macho yanataka kulia huku nataka kutapika na kumwambia ukwel siwezi......nyie watu wanyamwezi sio watu
 
Huwa napenda kujaribu vitu vipya kilawakati ila nachofanya napika chakula kipya nikiwa kama najifunza sifanyi kuwa ni special kwa walaji hata kma nipo pekeyangu ili ikitokea nimetoa Boko Huwa nakuwa na mbadala

Mfano niliwah weka kiungo flani kwenye mboga sikukadiria ikabadili labda ya mchuz kabisa sikupenda
So nakuwa makini sana
Ntakula vile vile nlivyokua navila ikiongezeka sana labda viongezewe viambata kidogo vinginevyo tutatapishana buree
 
Yaan navojitetea nikipika kitu kipya 😀had watu wataonja sikumoja nilipata mgeni nilipika makange na ugali nikamkaangia na karanga za mayai na vikokotoo nikagundua hapend sukari 😀

Aisee hakuna kitu kinaniuma nipike kitu alafu mtu asile nilijielezea had akakubali kula kidogo zingine nikamfungia sijui kama alikula au aligawa ila niliridhika
 
Siku ya kwanza pika tu Ile misosi common kadri mtakavozoeana ndio ufanye inducement ya tuvitu vitu
 
Back
Top Bottom