Jinsi ya kupika ndizi mzuzu mbivu za nazi

Jinsi ya kupika ndizi mzuzu mbivu za nazi

Yaan navojitetea nikipika kitu kipya 😀had watu wataonja sikumoja nilipata mgeni nilipika makange na ugali nikamkaangia na karanga za mayai na vikokotoo nikagundua hapend sukari 😀

Aisee hakuna kitu kinaniuma nipike kitu alafu mtu asile nilijielezea had akakubali kula kidogo zingine nikamfungia sijui kama alikula au aligawa ila niliridhika
Imagine ale afu akaarishe, yaani ndani ya 1 hour
 
Imagine ale afu akaarishe, yaani ndani ya 1 hour
Alafu kuharisha ni mtu na mtu mm Kuna baadhi ya vyakula nakula vizuri tu ila kunasiku chakula ichoicho nikila nakitapika Yani chote nafikir ni tumbo la mtu tu wengine had akinywa maji kabla hajakula chochote kwake ni tatizo
 
Maziwa mi ata nichemshe nusu saa lazima niharishe. Ila ya dukani fresh tu.
 
Ndizi ikikosa nyama si ni mihogo tu mkuu!
Tunabadilisha mkuu juzi Ilikuwa ndizi nyama za Nazi
IMG_20240909_152213.jpg
 
Maziwa mi ata nichemshe nusu saa lazima niharishe. Ila ya dukani fresh tu.
Aisee pole mm sijajua nn tatizo hakuna chakula specific kwakweli chochote Kila tumbo likiamua natapika
 
Natumaini mkopoa
Wapenz wa ndizi ,Ndizi mzuzu zikiiva msitupe
Leo nimewaletea recipe hii ya kupika ndizi mzuzu zilizoiva za Nazi

MAHITAJI
Naz
Ndiz zilizoiva
Iriki iliyosagwa ama nzima
Sukari kama hupendi tumia chumvi

Hatua ya kwanza
Menya ndizi kata vipande vinne
Kama unatumia Nazi ya kawaida chuja tui la kwanza zito (bubu)na tui la pili weka pekeyake
Kama unatumia ya pakti bas andaa Nazi Yako weka maji kidogo kwakuwa huwa nzito sana

Hatua ya pili
Bandika sufuria ama pan weka ndiz zako Kisha weka tui la Nazi
La pili lile jepes kama unatumia Nazi ya pakti weka maji(maji yasiwe mengi)Kisha weka iriki funika acha ichemke had maji yakikauka

Hatua ya Tatu
Maji yakikauka weka sukari kma hupendi weka chumvi Kisha mimina tui la lile zito tikisa sufuria taratibu had vichanganyike usikoroge koroge na mwiko vitapondeka acha vichemke Kwa dakika 5 zitakuwa tayari View attachment 3099784View attachment 3099785View attachment 3099786
Aaliyyah ❤️❤️❤️
 
Back
Top Bottom