Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
mkuuPika mama tule 😁maisha ni haya haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuuPika mama tule 😁maisha ni haya haya
Kaka kwemah?mkuu
Nakuita kaka..pmKaka kwemah?
Huu ndio mlo,yaani ndizi mbichi plus nyama, naziTunabadilisha mkuu juzi Ilikuwa ndizi nyama za Nazi View attachment 3099967
Hizo ndo chakula chetu hususan mwez wa ramadhan, ni tamu haswaaaa hapo pembeni unashushia na uji wa pilipili Manga na tambi, ila sishqngai watu wa Bara mnajua kuchemsha tu kupika siyo mambo yenu,Mmh! Haya mapishi mengine jamani
Ndizi mbivu+nazi 😃
Unatafuta ugomvi mbona wanajua tu 😂Hizo ndo chakula chetu hususan mwez wa ramadhan, ni tamu haswaaaa hapo pembeni unashushia na uji wa pilipili Manga na tambi, ila sishqngai watu wa Bara mnajua kuchemsha tu kupika siyo mambo yenu,
Mambo apendayo Extrovert haya🤣Natumaini mkopoa
Wapenz wa ndizi ,Ndizi mzuzu zikiiva msitupe
Leo nimewaletea recipe hii ya kupika ndizi mzuzu zilizoiva za Nazi
MAHITAJI
Naz
Ndiz zilizoiva
Iriki iliyosagwa ama nzima
Sukari kama hupendi tumia chumvi
Hatua ya kwanza
Menya ndizi kata vipande vinne
Kama unatumia Nazi ya kawaida chuja tui la kwanza zito (bubu)na tui la pili weka pekeyake
Kama unatumia ya pakti bas andaa Nazi Yako weka maji kidogo kwakuwa huwa nzito sana
Hatua ya pili
Bandika sufuria ama pan weka ndiz zako Kisha weka tui la Nazi
La pili lile jepes kama unatumia Nazi ya pakti weka maji(maji yasiwe mengi)Kisha weka iriki funika acha ichemke had maji yakikauka
Hatua ya Tatu
Maji yakikauka weka sukari kma hupendi weka chumvi Kisha mimina tui la lile zito tikisa sufuria taratibu had vichanganyike usikoroge koroge na mwiko vitapondeka acha vichemke Kwa dakika 5 zitakuwa tayari View attachment 3099784View attachment 3099785View attachment 3099786
Mwanaume anashiba?Cha mtu mzima kabisa labda kma hujawahi kula nazipenda sana so jaribu mkuu
Aliyesema uchawi wa kuturoga upo hapo na kwenye ulimi wenye staha hajakosea.Haya mambo yaacheni tu yana utamu wake😀
Hivi unaweza kuandaa juice ya tende maziwa sijui na viungo gani Ile ya wapembaUmeadimika
Hebu niambie nilete recipe ya chakula gani unayotaka boss wangu