Jinsi ya kupika ndizi mzuzu mbivu za nazi

Mmh! Haya mapishi mengine jamani
Ndizi mbivu+nazi 😃
Hizo ndo chakula chetu hususan mwez wa ramadhan, ni tamu haswaaaa hapo pembeni unashushia na uji wa pilipili Manga na tambi, ila sishqngai watu wa Bara mnajua kuchemsha tu kupika siyo mambo yenu,
 
Kumbe wengi hawalijii hili pishi, ni pishi amazing sana tena ukitaka unaweka na vanila Kwa mbaaaali
 
Hizo ndo chakula chetu hususan mwez wa ramadhan, ni tamu haswaaaa hapo pembeni unashushia na uji wa pilipili Manga na tambi, ila sishqngai watu wa Bara mnajua kuchemsha tu kupika siyo mambo yenu,
Unatafuta ugomvi mbona wanajua tu 😂
 
Mambo apendayo Extrovert haya🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…