Yani nlikua nawaza nipike nini leo na mboga ndani sina jioni nayo yaingia!! nkawaza maharage ila nimechelewa!! Lol si ndo nimeona hili pishi la tambi!! !! Nimefurah hadi basii!! Nazipika hizi hiz na mrejesho ntakupa kesho.

ubachelor huu.... nshaharibu sasa!!!!
Hahahahaaaaa. Tabu kweli kweli..
Nitapika hii.