strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Mahanjumati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ndogo mkuu :- chukua sufuri tupu pasha moto mdogo weka kijimoja Siagi au mafuta ya kupikia,baada ya kuyayuka mimina tambi afu kaanga kwa pozi baada ya dakk3 weka maziwa au maziwa vikombe kadhaa weka sukari kiasi chako kuroga kiduchu afu funika dakika 5 tu!! mambo hayo tambi safi utakula!!.![]()
![]()

Ahlen Wasah-Len Ukhtii... Ma3alesh!! nsijekukuunguzia Tambi zako,! halafu ulaze familyia bila mloo! mie sii profeshno.... kama Farkhy !! Mie huCopy na kuchafua jikoo!!nimependa hio ya pili inavutiaje!!...hizo ni rangi ama nn?.. tujifunze mambo ya kupamba sahani🙂
life is Short hapa hata km chakula hakina ladha mate lazima umeze.... 🙂Ahlen Wasah-Len Ukhtii... Ma3alesh!! nsijekukuunguzia Tambi zako,! halafu ulaze familyia bila mloo! mie sii profeshno.... kama Farkhy !! Mie huCopy na kuchafua jikoo!!
Okay.., 1.
hii waunga na jelly au choco-cups![]()
hii waunga na pastry & condens milk
![]()
hii waunga na ka3aka![]()
hii waunga na nuts(almond,snubar)![]()
hii waunga na Zabibu,Eggs,asali
![]()
kazi iko kwako dadngu chafua jikoo this weekend.
good luck.
Na3aam ! Yes indeed, Bismillah mashaAllah kuna mikono yenye ufanisi wa wapishi....!! ukiona lazima ...ukae mkao sawasawa!!life is Short hapa hata km chakula hakina ladha mate lazima umeze.... 🙂

Kazi ndogo mkuu :- chukua sufuri tupu pasha moto mdogo weka kijimoja Siagi au mafuta ya kupikia,baada ya kuyayuka mimina tambi afu kaanga kwa pozi baada ya dakk3 weka maziwa au maziwa vikombe kadhaa weka sukari kiasi chako kuroga kiduchu afu funika dakika 5 tu!! mambo hayo tambi safi utakula!!.![]()
![]()
Bravoo!! SistaMkuu itapendeza na kuwa tamu yenye ladha!!Unaweza pia ukaweka naz badala ya maziwa
Unaweza pia ukaweka naz badala ya maziwa
Nimeipenda hiiKazi ndogo mkuu :- chukua sufuri tupu pasha moto mdogo weka kijimoja Siagi au mafuta ya kupikia,baada ya kuyayuka mimina tambi afu kaanga kwa pozi baada ya dakk3 weka maziwa au maziwa vikombe kadhaa weka sukari kiasi chako kuroga kiduchu afu funika dakika 5 tu!! mambo hayo tambi safi utakula!!.![]()
![]()
naomba msaada wa jinsi ya kupika tambi in a simple way
weka maji jikoni yakisha chemka Tia tambi zako ziache zichemke walau .dk 5, ipua China maji weka mezani endelea kula hapo mboga yoyote ....
hii ZD ! ipo tambi za kisasa waweza changanya na karanga au korosho baada ya kukaanga kwa sukari iliyoyayuka!!Nimeipenda hii
hii ZD ! ipo tambi za kisasa waweza changanya na karanga au korosho baada ya kukaanga kwa sukari iliyoyayuka!!
![]()
utaipenda ukisha izoea!!![]()
Mkuu umeamua kula utamu na unono huo, hadi kutafuna vidole vyako ? Ok itanipasa ni transaleti baadhi ya recipe kwa maneno ya kiswahili cha kawaida.... nipe mda mdogo tu !Naomba unipe unipe recipe ya hii ktu.
Mkuu umeamua kula utamu na unono huo, hadi kutafuna vidole vyako ? Ok itanipasa ni transaleti baadhi ya recipe kwa maneno ya kiswahili cha kawaida.... nipe mda mdogo tu !