Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikajua ungepondaZinafanyaje had niogope
ata kuuita watotoYah mwenyew ndio maana sipikagi kingi hiko had jioni na kesho kiporo😂
Hapo sawa sawa ngoja nikianza takustua...😂😂😂Kama hauna Nazi tumia mafuta tu ni kizuri pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaziiiii,
Huu wali Hua unanivutia tu Kwa macho Lakin nkila siufurahii kabisa sisikii utamu wa wali Naonaga hayo makorokoro yanaharibu ladha ya wali imagine wali Huo Wa maua ule Na maharage au ule wali plain ule Na maharage ...Ni siku nyingine natumaini mnaendelea vyema na mapumziko
Nimeona niweze kushare na nyie jinsi ya kupika wali huu mtamu na unaonukia vizuri
Mahitaji
Hoho,karoti,iriki iliyosagwa au hata nzima,binzari nyembamba,kitunguu na njegere,chumvi,tui la Nazi mchele,chumvi na mafuta ya kula
Hatua ya kwanza
Kata karoti pamoja na hoho vipande vidogovidogo kadri utakavopenda pamoja na kitunguu
Weka tayari tui la Nazi hata ya dukani inafaa
Wingi wa viungo inategemea na mchele wako View attachment 3084266
Hatua ya pili
Bandika sufuria jikoni weka mafuta kidogo sana sababu tunatumia Nazi
Yakipata moto weka kitunguu kaanga kikilainika weka viungo vyako karoti,hoho,binzari nyembamba,iriki pamoja na njegere kaanga Kwa dakika Kama 2View attachment 3084268
Hatua ya Tatu
Weka chumvi Weka Nazi koroga weka ikichemka weka mchele uliooshwa tayari vizuri koroga funikaichemke Hadi ikauke Kisha punguza moto acha wali uive View attachment 3084270
Kisha geuza achatena kidogo wali wako utakuwa tayari
Huu wali ni mtamu na unaharufu nzuri na ladha ya kipekee
Unaweza kula na mboga upendayoView attachment 3084272
Kwa wanaopenda viungo Zaid unaweza ongeza kitunguu saumu pia unaweza karotbna hoho nying wewe upendavyo Mimi sikutaka vingi kulingana na kias Cha mchele wangu
Nawatakia weekend njema 😍😍
😂😂Nyumba ninsyoishi Haina watoto wote ni wakubwa
😂😂Nimecheka dadeq! Sasa si mpaka niwe tayar na yy awe tayari ndo ntaanza kula vizuri!Mungu ndiye mpaji wa kila kitu atafaidi sana😋
Mm napenda pia Huwa siweki viungo vingi piaHuu wali Hua unanivutia tu Kwa macho Lakin nkila siufurahii kabisa sisikii utamu wa wali Naonaga hayo makorokoro yanaharibu ladha ya wali imagine wali Huo Wa maua ule Na maharage au ule wali plain ule Na maharage ...
Unapika kwa kuangalia tutorial are we serious sis , 😂 🙌 😂 🙌 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaziiiii,
Niliwahi jaribuu kupikaa hiki chakulaa, sijui nilikoseaa wapii.
Hivyo viungo havikuiva vizuri, vilikua vinaguruchukaa.
Hadi mlaji mwingne, akaishia kunambia "unachowezaa wee ni umbea na kusogoa, kupika hujui"
Nlipatwa na hasira, nlimwagia chakula mwilini, kilichofuata ni ITV.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kupikaa mie, nisamehewe kwa kweli. Lol.
Shangazii chakulaa hiko kiko [emoji39][emoji39][emoji39].
Wewe nitakutafutia Mwalimu awe na fimbo utaelewa 😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaziiiii,
Niliwahi jaribuu kupikaa hiki chakulaa, sijui nilikoseaa wapii.
Hivyo viungo havikuiva vizuri, vilikua vinaguruchukaa.
Hadi mlaji mwingne, akaishia kunambia "unachowezaa wee ni umbea na kusogoa, kupika hujui"
Nlipatwa na hasira, nlimwagia chakula mwilini, kilichofuata ni ITV.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kupikaa mie, nisamehewe kwa kweli. Lol.
Shangazii chakulaa hiko kiko [emoji39][emoji39][emoji39].
Unatak nimwagiwe maji ya moto usoni😃