Jinsi ya kupika wali wa mbogamboga(wali wa maua) wa Nazi

Mama Mwana dada njoo nisaidie nimeambiwa huko juu haifai kuweka njegere kwenye wali ni kweli na Kwa nn,?
ulivyopika wewe na ninavyopika mm naona tofauti kidogo

kwanza njegere ndio first option ukikosa unaweka green beans au choroko kama utakosa vyote na wali wa maua hua hatuweki kitunguu chochote sana sana ni karot hiliki na jira au binzazlr nyembamba

kuna nazi chuja tui lako hapa kama nazi ni kubwa imejaza vizuri huna haja ya kuwea tui bubu pembeni, lakini ikiwa umepata nazi nzuri chuja tui la moja kwa moja kidogo kidogo weka jikon weka chumvi kidogo subiri vichemke, vikisha chemka punguza hilo tui lilichemka pembeni mimina mchele wako weka sawa vikichemka kidogo mimina sasa hiliki jira njegere karot kisha tumia moto mdogo mdogo ukiona maji yameanza kukakuka mimina tui bubu usigeuze geuze sana kuepusha mchele kuuvunja ukiona kiini bado kinatafunika unamimina lile tui ulilopunguza ukaliweka pembeni happ utaendelea had vile unataka wali wako utoke namna gan unakua umepata wali pure wa nazi wa maua hupendelea sana kula na roast la nyama au maharage ya nazi mimi ndio hufaya hivyo.
 
na kama utakua umetenga tui bubu pembeni kwanmba naz yako n ndogo ukishaona lile tui lililochemka limeanza kukauka ukiwa uneshamimina vitu vyako thus mchel na spices zako anza kumimina tui bubu kwanza ukiona bado kiini kinatafunika unamimina hill tui ulilolitenga lile lililochemka mwanzo mpaka kiini kiwe sawa happ utaamua either wali uiname kidogo utoke umenyooka kama mwanajeshi ni wewe tu
 
Aina zote Huwa napika inategemea na mood 😃 wakat mwingine siweki njegere
Siku nakaanga kidogo siku nyingine namimina kama ulivoelezea ila Jira,choroko hapana sijawahi jaribu
IMG_20240529_150429~2.jpg

Nifahamishe kuhusu Jira
Kama hii sikukaanga Wala kuweka njegere
 
na kama utakua umetenga tui bubu pembeni kwanmba naz yako n ndogo ukishaona lile tui lililochemka limeanza kukauka ukiwa uneshamimina vitu vyako thus mchel na spices zako anza kumimina tui bubu kwanza ukiona bado kiini kinatafunika unamimina hill tui ulilolitenga lile lililochemka mwanzo mpaka kiini kiwe sawa happ utaamua either wali uiname kidogo utoke umenyooka kama mwanajeshi ni wewe tu
😍😍Asante sana
Huwa napika chakula kidogo Nazi Huwa nzito yote km Leo nilikuwa na Nazi nne za kutengeneza mafuta hivo tui nilijichotea zito zito kabisa 😃
 
yeah tena chakula kikiwa kidogo hukolea nazi hasa nazi uichuje kidogo kidogo
😍😍Asante sana
Huwa napika chakula kidogo Nazi Huwa nzito yote km Leo nilikuwa na Nazi nne za kutengeneza mafuta hivo tui nilijichotea zito zito kabisa 😃
😍😍Asante sana
Huwa napika chakula kidogo Nazi Huwa nzito yote km Leo nilikuwa na Nazi nne za kutengeneza mafuta hivo tui nilijichotea zito zito kabisa 😃
 
Aina zote Huwa napika inategemea na mood 😃 wakat mwingine siweki njegere
Siku nakaanga kidogo siku nyingine namimina kama ulivoelezea ila Jira,choroko hapana sijawahi jaribuView attachment 3084349
Nifahamishe kuhusu Jira
Kama hii sikukaanga Wala kuweka njegere
jira ni zile binzari nyembamba mnaita hivo sie tunaita jira,unaweza tumia hiliki kama hiliki ila ukimix na jira wali unakua na harufu flani amazing na hukupa hamu ya kula zadi unapendeza sema umekata cubes kubwa sana sababu ya mchele punje ni ndogo kata hivo hivo cubes lakini kwa umbo dogo utakuja kunipa feedback, choroko kama umekosa vyote huweki choroko nusu unatupia tu kidogo nao hupendezesha pia, huu wali umenitamanisha
 
Mtoa mada naomba msaada. Je naweza kutumia nazi ya dukani maana hayo manazi og siwezi kudeal nayo natamani leo nijipime kupika huu wali umenivutia
 
Back
Top Bottom