Jinsi ya kupika wali wa mbogamboga(wali wa maua) wa Nazi

Jinsi ya kupika wali wa mbogamboga(wali wa maua) wa Nazi

Pishi tamu sana hili. 😋.

Pia kama unapenda harufu nzuri ya pilipili hoho, unaweza usizikaange pamoja na viungo vingine. Unaiweka mwishoni wali wako ukiwa unakaribia kukaukia maji.
 
Huu wali Hua unanivutia tu Kwa macho Lakin nkila siufurahii kabisa sisikii utamu wa wali Naonaga hayo makorokoro yanaharibu ladha ya wali imagine wali Huo Wa maua ule Na maharage au ule wali plain ule Na maharage ...
Dada sio msukuma wewe😃😃(,jokes)
Sikumoja wifiyangu aliniomba nikapike birian kulikuwa na vijana wa pale mtaani rafikizake kaka wengi tu tunajuana nikapakua wali kwenye sinia kubwa rost nikaweka kwenye bakuli nyingine
Nikasikia dada mbona hakuna mchuzi 😂😂😂
Nikasema leteni nikaenda kutia maji nikapashha nikawapa😃
Kaka alicheka balaa akasema wasukuma Wana mamboyao birian walijue wapi
 
Kabisaaa shangaziiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi siwez kukufundisha aisee nilikuwa nafundisha mtu kupika chapat nilivoona anakosea kusukuma na kuchoma nikamfukuza 😃😃nikapika alafu nikampa akale Sasa sijui nilifundisha nn😂😂😂
 
Mimi siwez kukufundisha aisee nilikuwa nafundisha mtu kupika chapat nilivoona anakosea kusukumwa na kuchoma nikamfukuza [emoji2][emoji2]nikapika alafu nikampa akale Sasa sijui nilifundisha nn[emoji23][emoji23][emoji23]
Mie shangaziii tutagombanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nna kichwaa kibovu ktk mapishiii, aaaaah
 
Mie shangaziii tutagombanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nna kichwaa kibovu ktk mapishiii, aaaaah
🤣🤣Wewe nikifundish mm nitakunwagia nyanya usoni
Bora nikutafutie Mwalimu🤣🤣
 
Back
Top Bottom