Hili limenikuta toka wiki iliyoisha nilikuwa nafile annual return imenichukua zaidi ya wiki kupata approval marekebisho lukuki unaambiwa rekebisha hiki una-upload baada ya siku 3 unaambiwa tena fanya marekebisho menginebrela iongeze staff ikiwezekana kama kweli inavutia wawekezajii .INAWEZEKANAJE UNATUMA MAOMBI KUFUNGUA KAMPUNI YANACHUKUA ZAIDI YA 24 WORKING HOURS KUJIBIWA? YAKIJIBIWA UNASAHIHISHWA ,UKITUMA UNAPEWA KOSA LINGINE AMBALO HAWAKUSEMA MWANZO .
Hapo kuna uhuni mwingi ila ndo utafutaji.Hili limenikuta toka wiki iliyoisha nilikuwa nafile annual return imenichukua zaidi ya wiki kupata approval marekebisho lukuki unaambiwa rekebisha hiki una-upload baada ya siku 3 unaambiwa tena fanya marekebisho mengine
Kila mfumo una manufaa yake na mapungufu yake . Tukisema tuende moja kwa moja hatutomaliza mkuu. Swali muhimu kwako mkuu ni kwa biashara gani? tukijua biashara tunajua mfumo upi ni sahihi kwako asanteMfumo upi ni hora zaidi Wa kuendesha biashara kati ya mmiliki mmoja, kampuni na ubia?
Nafaka mkuuKila mfumo una manufaa yake na mapungufu yake . Tukisema tuende moja kwa moja hatutomaliza mkuu. Swali muhimu kwako mkuu ni kwa biashara gani? tukijua biashara tunajua mfumo upi ni sahihi kwako asante
asante mkuu. kwa mawazo yangu binafsi , cha kwanza ningejiuliza maswali haya . moja, je nina fanya biashara ya nafaka nje ya nchi au la. kama ni ndani ya nchi , binafsi ningependelea biashara binafsi au ya ubia( Hapa inategemrana na arrangement zako kama ww ni mmiliki pekee au utakuwa na mtu zaid ya mmoja). lakini kama ninaenda kufanya biashara ya nafaka nje ya nchi kampuni ni bora zaidi, sababu itaongeza uaminifu kwa wateja wako, wigo wa kuexpand nimkubwa sana kupitia kampuni sababu activities za kampuni ni limitless as long as uliziandika kwenye MEMART.Nafaka mkuu
Ooh sawasawa mkuu, kwa hiyo inategemeana na scope of operation. Shukrani sana mkuuasante mkuu. kwa mawazo yangu binafsi , cha kwanza ningejiuliza maswali haya . moja, je nina fanya biashara ya nafaka nje ya nchi au la. kama ni ndani ya nchi , binafsi ningependelea biashara binafsi au ya ubia( Hapa inategemrana na arrangement zako kama ww ni mmiliki pekee au utakuwa na mtu zaid ya mmoja). lakini kama ninaenda kufanya biashara ya nafaka nje ya nchi kampuni ni bora zaidi, sababu itaongeza uaminifu kwa wateja wako, wigo wa kuexpand nimkubwa sana kupitia kampuni sababu activities za kampuni ni limitless as long as uliziandika kwenye MEMART.
Ndiyo mkuuOoh sawasawa mkuu, kwa hiyo inategemeana na scope of operation. Shukrani sana mkuu
Kila aina ya umiliki una faida na hasara zake ingawa kwenye mmiliki mmoja (sole proprietor) kuna changamoto za ukuaji kwamba kuna kiwango kinafika hutaweza kufanya kiwango flani cha biasharaMfumo upi ni hora zaidi Wa kuendesha biashara kati ya mmiliki mmoja, kampuni na ubia?
So ni best kuanza na private company?Kila aina ya umiliki una faida na hasara zake ingawa kwenye mmiliki mmoja (sole proprietor) kuna changamoto za ukuaji kwamba kuna kiwango kinafika hutaweza kufanya kiwango flani cha biashara
Hakika bora hivyo ingawa kwenye uandaaji wa katiba ya kampuni (MEMART) lazima uwe makini kidogo usijetakiwa kulipa pesa nyingi bila sababuSo ni best kuanza na private company?
Ufafanuzi zaidi tafadhali mkuu, umakini upi hasa?Hakika bora hivyo ingawa kwenye uandaaji wa katiba ya kampuni (MEMART) lazima uwe makini kidogo usijetakiwa kulipa pesa nyingi bila sababu
Kwamba anaekuandalia MEMART ya kampuni yako asije kuweka shares nyingi zenye thamani kubwa pasipo kuwa na sababu yoyote ya msingi hivyo kupaswa kulipia pesa nyingi tofauti na kuweka thamani ya shares kiwango kidogo na idadi yake ikiwa kiasi tu.Ufafanuzi zaidi tafadhali mkuu, umakini upi hasa?
Ni bank zipi nzuri kwaajili ya kufungulia kampuni tukiachana na crdbna nmb tukiangalia na upande wa stability.Kwamba anaekuandalia MEMART ya kampuni yako asije kuweka shares nyingi zenye thamani kubwa pasipo kuwa na sababu yoyote ya msingi hivyo kupaswa kulipia pesa nyingi tofauti na kuweka thamani ya shares kiwango kidogo na idadi yake ikiwa kiasi tu.
Mfano wa thamani wa shares 1800Kwamba anaekuandalia MEMART ya kampuni yako asije kuweka shares nyingi zenye thamani kubwa pasipo kuwa na sababu yoyote ya msingi hivyo kupaswa kulipia pesa nyingi tofauti na kuweka thamani ya shares kiwango kidogo na idadi yake ikiwa kiasi tu.