Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Kuwahi kutoa ndo unafanya vp mkuu? Na jinsi kinavyohesabu ndo pesa uongezeka et?Unaweka pesa kwenye account yako then unakwenda kwenye gemu yenyewe inaitwa aviator unaweka kiwango chochote unacho taka hapo jinsi kindege kinavyo kas hewani ndio pesa zako zinaongezeka. View attachment 2485208
Kwa mfano hapo kama ungekuwa umeweka elfu 10 ukiwahi kutoa kabla hakijafyatuka unapata 10,000X26.53= 265,300.
Kuna mda kinawahi kufyatuka kama unavyo ona hapo kwenye chati[emoji116]
View attachment 2485215
Unaweka pesa kwenye account yako then unakwenda kwenye gemu yenyewe inaitwa aviator unaweka kiwango chochote unacho taka hapo jinsi kindege kinavyo kas hewani ndio pesa zako zinaongezeka. View attachment 2485208
Kwa mfano hapo kama ungekuwa umeweka elfu 10 ukiwahi kutoa kabla hakijafyatuka unapata 10,000X26.53= 265,300.
Kuna mda kinawahi kufyatuka kama unavyo ona hapo kwenye chati[emoji116]
View attachment 2485215
Mkuu ilizunguka mara 60,000? Lini hiyo?Huyu mshenzi kaweka 964.19tshs kapiga M57 leo; kudadeki
View attachment 2485221
Refer kwenye hiyo picha unless alyeituma aseme kaitoa wapi maana hata mimi nimeshangaa. Nacheza sana aviator na sijawahi kuona huu muujiza. Ndiyo maana nimemuuliza ni liniHaijawahi kutokea
Kiwango chako kikubwa cha kushinda ni kias gani tangu ulipoanza kuchezaRefer kwenye hiyo picha unless alyeituma aseme kaitoa wapi maana hata mimi nimeshangaa. Nacheza sana aviator na sijawahi kuona huu muujiza. Ndiyo maana nimemuuliza ni lini
hiyo last win niliweka 400 nikala 6000 Ila baada ya hapo nikaamza kuliwa kiasi Hadi 5000 ikabakiView attachment 2485505
Jana hiyo 😂Mkuu ilizunguka mara 60,000? Lini hiyo?
Unaweza kushinda mara nyingi lakini pia unaweza kupoteza mara nyingi. Kuna wakati inagoma kupamdisha odds, zinachezea 1.0, 1.01, au vyovyote lakini haifiki 1.5. Ikute umeiset auto bet na auto cashout, utajutaMkuu hii kitu kama nataka niwe na cancel kila ikifika odd ya 1.50 mi sitaki iendelee huko si nitakuwa nakula kila nikiweka?
Mkuu niliwahi kupiga 17,404,000 tsh. Kwa dau la 458,000.Kiwango chako kikubwa cha kushinda ni kias gani tangu ulipoanza kucheza
Ndio tafuta siku ambayo mkeka wako utaunganisha na timu ya real madrid na vile vile list ya time zingine weka ambao wana historia ya kuvaa jersey nyeusi au jersey za dark ndio wawe washindi halafu hakikisha hiyo laki 3 unayoweka uwe umeshinda kutoka kwenye mchezo wa matunda kwa bet ya elfu 2 kisha baada ya hapo weka ushindi wako kwenye mkeka. Utaniletea pesa ya soda ofisini.Mkuu Rakims jana nilifanya spell Kwa elf 8 za chenchi nikalala...
Nikachelewa kuamka niliamka saa 9:25 nikacheza mara 6 nililiwa mwisho nikapigwa 6000 nikarudisha mtaji nikaona nimechelewa mda ulionielekeza nikalala.
Kwenye saa 10 usiku nimeota kuna mtu tulisoma nae secondary amekuja kuniona, na sister akawa anamuelekeza naenda hospital nitaenda nachechemea mgumu...
Muda huo nilikuwa nacheza ila sikumbuki mchezo gani nakumbuka ni kampuni ya play master na upande ni games za slot kama matunda (sina uhakika)
Muda huo huyo mtu akiwepo nikashinda laki 3 alafu nikaweka tena mkeka wa laki 3 nikashinda laki 929 nikawa najitoa Kwa namba yangu hii.
nnachokumbuka kingine account Yang ilikuwa na jina la mchezaji mpira wa real Madrid (Benzema) na huyo mtu alisoma jina hilo kwenye account
je ndoto hii inaweza kuwa ni uoneshi?
maana nimevuta sana kumbukumbu nilipoamka ila nnachokumbuka ni kulikuwa na rangi nyeusi hivi na kila mru nliweka niliwin
Asante mkuu... Ngoja nifanyie kazi hili suala. Asante sana mkuu.Ndio tafuta siku ambayo mkeka wako utaunganisha na timu ya real madrid na vile vile list ya time zingine weka ambao wana historia ya kuvaa jersey nyeusi au jersey za dark ndio wawe washindi halafu hakikisha hiyo laki 3 unayoweka uwe umeshinda kutoka kwenye mchezo wa matunda kwa bet ya elfu 2 kisha baada ya hapo weka ushindi wako kwenye mkeka. Utaniletea pesa ya soda ofisini.
Rakims
Mkuu huu mchezo wa matunda ndo unachezwa vpAsante mkuu... Ngoja nifanyie kazi hili suala. Asante sana mkuu.
huo unaweka pesa alafu unaspin hiyo kuna mistari ikitokea unakula pesa yakutosha Tu ...mfano hapo niliweka 400 zikatokea alama za V kwenda juu na V ya kulala chini ndo nikapata 6000Mkuu huu mchezo wa matunda ndo unachezwa vp