Mkuu
Rakims jana nilifanya spell Kwa elf 8 za chenchi nikalala...
Nikachelewa kuamka niliamka saa 9:25 nikacheza mara 6 nililiwa mwisho nikapigwa 6000 nikarudisha mtaji nikaona nimechelewa mda ulionielekeza nikalala.
Kwenye saa 10 usiku nimeota kuna mtu tulisoma nae secondary amekuja kuniona, na sister akawa anamuelekeza naenda hospital nitaenda nachechemea mgumu...
Muda huo nilikuwa nacheza ila sikumbuki mchezo gani nakumbuka ni kampuni ya play master na upande ni games za slot kama matunda (sina uhakika)
Muda huo huyo mtu akiwepo nikashinda laki 3 alafu nikaweka tena mkeka wa laki 3 nikashinda laki 929 nikawa najitoa Kwa namba yangu hii.
nnachokumbuka kingine account Yang ilikuwa na jina la mchezaji mpira wa real Madrid (Benzema) na huyo mtu alisoma jina hilo kwenye account
je ndoto hii inaweza kuwa ni uoneshi?
maana nimevuta sana kumbukumbu nilipoamka ila nnachokumbuka ni kulikuwa na rangi nyeusi hivi na kila mru nliweka niliwin