Background Check
JF-Expert Member
- Jun 28, 2019
- 341
- 498
Wanajamii Forum
________________
________________
Ninaomba kama kuna mtu anaweza akawa na idea kuhusu namna ya kushiriki kikao, mkutano ama shughuli yoyote ya kiongozi wa kitaifa Mfano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nk...
Mfano kuna taarifa kuwa hivi karibuni Rais wetu wa JMT ataongea na vijana wa mwanza kwa niaba ya vijana wa Tanzania, sasa huwa sifahamu namna ya kujisajili ili kushiriki. Au huwa kuna utaratibu gani unatumika kuwachagua washiriki?.